Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

4503C0C3-18A4-487A-92F9-10FD68207274.jpeg
 
Nyie wanywa pombe nna swali ivi kwanini mnatabia ya uchoyo Wa ela....ila kumnunulia mtu pombe ni wepesi sana .ila kumcash mtu hamuwezi kwanini????
Hiyo ni sheria namba 1 ya 1977 kifungu cha 2b ya kanuni na utaratibu wa wanywa pombe iliyofanyiwa marekebisho 2017.

Kwanza msiokunywa mnajifanya mnaakili za maisha kuliko sisi.yaani mm ninywe pombe we nikupe pesa ukalishe familia!!?tafuta pesa yako.
 
Back
Top Bottom