Mada maalumu;-ndoa/

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,056
23,509
-akina dada wengi huingia katika ndoa kwa kukurupuka!
-huingia katika ndoa kama fasheni!
-baadhi huingia katika ndoa ili kujinusuru na makali ya maisha!
-upendo wa dhati ndani ya mioyo huwa haupo!
-maadili ya ndoa yamekwisha!
-baadhi ya wanaume wakishaona mapaja huchanganyikiwa na kukurupuka kutoa mahari!,bila kutarajiwa!
ama kweli ni majanga tu!
 
Back
Top Bottom