Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Daah pole sana mkuu na waziri anasema eti sababu ya kupandisha ada hio ni

' Dr.Mpango amesema kuwa kodi hiyo imepanda ili kuhuisha viwango vinavyopendekezwa kulingana na thamani halisi ya fedha nchini'.

Sababu ya hovyo tu na wala sijaelewa hata alichokisema.

Kama vipi achana nayo tu mkuu maana kila baada ya miaka 3 kutoa 10mil ni pesa ndefu hio mkuu.
 
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.

ASANTENI.
 
Hiyo ya kukata tank ni ushauri wa kipuuzi na mbaya kabisa... Umecheki gear box inafanya kazi vizuri? Inamaliza gear?
Viashiria vya gari kula mafuta
. plugs feki/tofauti na model ya gari
. oil filter feki
. gearbox mbovu
. leakage kwenye tank...
Kama gari lako halina shida kwenye no 1 mpaka 3 basi most likely kuna leakage ndogo isiyoonekana inayopoteza mafuta.. Likague tank kwa fundi mweledi
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.

ASANTENI.
 
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana.

sasa cha kushangaza hii gari inakula mafuta kuliko kawaida. yaani inatumia lita 5 kwa kilometre 16(ambayo ni sawa na 3.2km/litre). na akat kwa kawaida inatakiwa itumie lita 1 kwa kilometre 14 (japo kwa sababu ya ubovu wa barabara na umri wa gari) hata ikienda 10km/litre sio mbaya.)

Nkaenda kwa fundi kanambia niifanyie service,mwaga oil na nibadilishe plugs nkasema ok. lakn nmerud barabaran ulaji ni ule ule.

Kuna baadhi ya madereva nimewauliza wakanambia fuel tank ya carina n kubwa sana yaan ukiweka mafuta yanasambaa hvyo niikate

sasa ndugu zangun naombeni USHAURI WENU NAMNA YA KUTATUA HII CHANGAMOTO au kama kuna fundi anayeweza kutatua hii changamoto walau gari iwe inaenda 11km/litre tuwasiliane kwa 0768811999. Fundi awe hapa hapa dar.

ASANTENI.
Kingine... Je umepata historia ya gari kabla hujainunua?
 
Hello members habari
Nimenunua carina TI ya mwaka 1996, ina cc 1762 kwa ajili ya kuifanyia kazi ya TAX. barabara ambayo nafanyia hyo kazi ina makorongo sana. Kingine... Je umepata historia ya gari kabla hujainunua?
hapana mkuu
 
Wakuu nina gari Carina TI ukienfesha stering inacheza sana Ina vibrate ni Nini tatizo na nimebadili plug tayari
 
Heshima Kwenu Wakuu Nahitaji kununua Gari Toyota Alphard
Naomba kijuzwa Tofauti ya aina za gari hio ikiwa ni pamoja na faida na hasara
Shukran sana kwenu
 
Mmh clutch plate ikiisha gari inakosa nguvu.. Kwahiyo hapo nakataa... Kwa shida hiyo ni vema kuepuka guess work kwakuwa sijui huo mkwamo ukoje.. Nakushauri wasiliana na LEGE ana gereji mitaa ya mwenge utasaidika
Salama kabisa takujibu kesho
 
fety upo? Kuna group ulinionganishaga WhatsApp lilikua poa sana hv bado lipo km ndio nirudishe.

Phone 0718 603 278
 
Back
Top Bottom