Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,754
- Thread starter
- #5,981
Daah pole sana mkuu na waziri anasema eti sababu ya kupandisha ada hio ni
' Dr.Mpango amesema kuwa kodi hiyo imepanda ili kuhuisha viwango vinavyopendekezwa kulingana na thamani halisi ya fedha nchini'.
Sababu ya hovyo tu na wala sijaelewa hata alichokisema.
Kama vipi achana nayo tu mkuu maana kila baada ya miaka 3 kutoa 10mil ni pesa ndefu hio mkuu.