Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,172
Mkuu sikupata mda wa kuingia online ila Nishukuru sana kwa msaada wako maana gari iko smooth lile tatzo halipo tena na nimeipga masafa marefu lakn iko ok,shukrani sana tena sana naimani tutakuwa pamoja kwnye ushauri na matatzo ya hapa na pale kwnye maswala haya ya vyombo vya moto.Hujanipa mlejesho mkuu kwamba shida imekwisha au bado kizungumkuti??.i hope gari ipo okey coz ingekuwa bado inawasha taa najua ningepata simu yako..kimyaa kinaashilia gari iko okey..karibu tena ukiwa na shida yoyote ya gari hasa auto electrical and electronics..kwetu kutatua tatizo au ndio kitu mhim zaidi..hata kama litakuwa nje ya uwezo wetu tutajitahidi kutafuta solution ili kuongeza utaalam zaidi.kila siku kwetu tunajifunza .