Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hujanipa mlejesho mkuu kwamba shida imekwisha au bado kizungumkuti??.i hope gari ipo okey coz ingekuwa bado inawasha taa najua ningepata simu yako..kimyaa kinaashilia gari iko okey..karibu tena ukiwa na shida yoyote ya gari hasa auto electrical and electronics..kwetu kutatua tatizo au ndio kitu mhim zaidi..hata kama litakuwa nje ya uwezo wetu tutajitahidi kutafuta solution ili kuongeza utaalam zaidi.kila siku kwetu tunajifunza .
Mkuu sikupata mda wa kuingia online ila Nishukuru sana kwa msaada wako maana gari iko smooth lile tatzo halipo tena na nimeipga masafa marefu lakn iko ok,shukrani sana tena sana naimani tutakuwa pamoja kwnye ushauri na matatzo ya hapa na pale kwnye maswala haya ya vyombo vya moto.
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Mngetushirikisha chanzo cha tatizo na solution yake ingekua poa sana.

Mkuu chanzo cha tatizo nazani kipo comment 10 juu kutoka hii ..shida ilikuwa inasoma vvti sensor..na mdau alisema ilianza kuwaka baada ya kufanya service ..taa ya check engine ikaanza kuwaka. Laiti kama asingebadili oil basi isinge leta ugonjwa
 
Mkuu LEGE na wataalamu wengine,
Gari yangu ni ndogo (Mitsubishi MINICA 660cc) automatic, Brake fluid oil inatumia DOT4. Tatizo langu ni kutaka kujua aina gani ya POWER STEERING OIL inayofaa kwa gari kama hizi.
Tumezoea kutumia Hydraulic fluid ATF, sasa nina mashaka kutumia hii huenda kuna mbadala/specific oil kwa gari hizi ndogo.
NB: Ni gari imeingia nchini siku za karibuni bado haijabadilishwa au kufanyiwa service yeyote.
 
Kama hakuna specifications za aina ya oil basi unatumia ile basic... Lakini pia unaweza kuingia Google na kupata habari kamili
 
Naomba ushaur na uzoefu juu ya magari aina ya pajero, nataka kununua....kati ya MIN AUTO vs MANUAL GIA.....uzur na ubaya wake....ipi bora zaid....asanteen
 
Pia Kuna Extril na Nadia.....

Kwa ufup nataka gar ya kufanyia mzunguko pia kubebea mzigo mbalmbal ya dukan.....ila badget yang ndogo....hvyo naomba experience na ushaur....
 
Go for SUZUKI Carry (kirikuu)
 
Naomba ushaur na uzoefu juu ya magari aina ya pajero, nataka kununua....kati ya MIN AUTO vs MANUAL GIA.....uzur na ubaya wake....ipi bora zaid....asanteen
Gari nzuri ila spare kidogo bei juu na hazitaki shida
 
Niwasalimu kila mmoja kwa imani yake,naomba msaada wa elimu kidogo dashboard Kama ilivyo kawaida kuna symbols zinajitokeza unapotaka kuwasha gari Kisha gari ikiwaka huzima,hivi karibu gari yangu imeanza kuonesha symbol ya emission control warning japo gari ikisha waka nayo huzima je kunatatizo lolote hapo #mshana jr na wengineo msaada hapo ahsanteni
 
Ikizima hakuna shida ila kama katikati ya mwendo itawaka na kuzima tena baada ya muda hiyo ni warning
 
Shukrani mkuu,huwa gari inapowaka huzima na pia linapokuwa kwenye mwendo haiwaki
Hakuna shida hapo ila usiache ku monitor dashboard yako kila wakati unapowasha gari yako ama inapokuwa kwenye mwendo
 
Habar wanajamvi gari yangu ni toyota avensis ina engine ya 7A ni manual ila haichanganyi na inakuwa kama ina miss na inakula sana mafuta
 
Back
Top Bottom