Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Gari yangu ni aina ya toyota verossa engine vvti 2.0L,nmenunua used ina km 50,300 mpka sasa, shida imetokea juzi hapa nmebadilishi engine oil kwa mara ya kwanza lakn baada ya kuanza kuitembelea naona taa ya chek engine inawaka na hio hutokea napoanza safari itatembea kidgo kwa mda flan ikiwa imezima then baadae ndo inakuwa inawaka,ila kila kitu kiko vzuri hakuna miss wala uzito wa power nilimshirikisha jamaa flan ni fundi yeye akanambia inawezekana oil niliyoweka ni tofaut na iliokuja na gari so mpka izoee ndo hio cheki engine itazima,na oil nilioweka ni ya total, naomba msaada wenu tatzo linaweza kuwa ni nn maana nafkiria kuipeleka kwnye diagnosis
 
Umetumia genuine oil? Ulimpa fundi au ulienda kununua mwenyewe?
 
Issue ni Oil hapo.
 
Umetumia genuine oil? Ulimpa fundi au ulienda kununua mwenyewe?
Ndio ni genuine nilimpa fundi ndo alisoma na kuiselect hio oil but ndo oil ya kwnza kubadilishwa tangu gari itue nchini sasa sijajua tatzo ni oil haijamatch na iliokuwa mwanzo ama kuna tatzo jingine maana kuna fundi alinambia kuwa tatzo inaweza kuwa ni oil injini haijaizoea hio iliowekwa so nisije nkaibadilishia ila niendelee nayo hio hio oil ya total na akaniambia kuwa hio taa itazimika tu baadae asa ndo maana nkaamua kuja humu jukwaani kuulizia kama kuna scenario kama hio maana huyo fundi niliomuuliza ni fundi tu wa mtaani
 
CC: LEGE
 
Gari yangu ni aina ya toyota verossa engine vvti 2.0L,nmenunua used ina km 50,300 mpka sasa, shida imetokea juzi hapa nmebadilishi engine oil kwa mara ya kwanza lakn baada ya kuanza kuitembelea naona taa ya chek engine inawaka na hio hutokea napoanza safari itatembea kidgo kwa mda flan ikiwa imezima then baadae ndo inakuwa inawaka,ila kila kitu kiko vzuri hakuna miss wala uzito wa power nilimshirikisha jamaa flan ni fundi yeye akanambia inawezekana oil niliyoweka ni tofaut na iliokuja na gari so mpka izoee ndo hio cheki engine itazima,na oil nilioweka ni ya total, naomba msaada wenu tatzo linaweza kuwa ni nn maana nafkiria kuipeleka kwnye diagnosis
Sio kweli mkuu hilo nakukatalia kwa aina ya gari uliyoisema haiwezi washa gari kwa ishu ya oil..hapo kuna shida ipo sehem kuna hasa kwenye mfumo wa umeme kutakuwa kuna sensor inazingua..

Kama upo dar es salaam tutafutane au waweza fika mwenge .kwaheshima ya jf nitakupimia bure kabisa nanitakwambia shida ni nn au ili ipone ufanye nn hapo ndio mwisho wa msaada wa bure..

Lkn ukitaka kulekebishiwa utatozwa garama za ufundi kidogo tuu kijf jf.. na kama kutakuwa na sensor au spare hilo juu yako..

Kama huwezi fika mwenge ofisini na wahitaji huduma basi garama yako itakuwa ni ya usafiri kwa fundi toka mwenge mpaka ulipo na kumludisha tena mwenge..
 
Nitakutafuta mkuu naomba namba zako PM
 
Ndugu yangu LEGE nahitaji mawasiliano yako ili niweze kufika ofisini kwako maana mwenge ni pakubwa siwez kujua exactly uko sehem gani,ungeweza kunidirect niweze kuleta gari langu hapo ulicheki,ntashukuru sana kama ukinisaidia kwa hilo.
 
Shukrani sana wadau yayari Nshampata na nimefanya mawasiliano naye.
Hujanipa mlejesho mkuu kwamba shida imekwisha au bado kizungumkuti??.i hope gari ipo okey coz ingekuwa bado inawasha taa najua ningepata simu yako..kimyaa kinaashilia gari iko okey..karibu tena ukiwa na shida yoyote ya gari hasa auto electrical and electronics..kwetu kutatua tatizo au ndio kitu mhim zaidi..hata kama litakuwa nje ya uwezo wetu tutajitahidi kutafuta solution ili kuongeza utaalam zaidi.kila siku kwetu tunajifunza .
 
Back
Top Bottom