Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

BREKI KUVUTA UPANDE
Wadau naomba kujua tatizo ninini, gari aina ya nissan vannete ukishika breki inavuta kushoto kiasi kwamba ukiwa na speed zaidi ya 80 inaweza kuanguka, nimejaribu kupuliza zile pipe za mafuta kuona kama zimeziba lkn ziko sawa nikabadilisha master sillinder ya breki lakin shida bado ipo, na zaidi ukikanyaga mara mbili au tatu haivuti, ukiishia moja inavuta na pia inakuwa ngumu sana, naomba ushauri wenu.
 
Mmh hapa kuepuka guess works nashauri ukacheki kwa kutumia computer
 
Habari ya jioni
Nadia type su engine 3s inatatizo la kutoa moshi mwingi asubuhi au hata ikipigwa less pia inamaliza engine oil
Naomba ushauri wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanì inatoa moshi wa rangi gani? Bluu au mweupe? Kama ni Bluu Andaa kama laki nne au tano, tafuta fundi mzuri, fanya overhauling mkuu. Kuna seals na gasket kibao zitakuwa zimekufa, so oil inaingia kwenye combustion chamber (mfumo wa uchomaji wa mafuta)na inaunguzwa sambamba na petroli
 
hello wakuu, msaada tafadhali, sterling ya nissan xtrail inakuwa ngumu je shida inaweza kuwa nini
 
hello wakuu, msaada tafadhali, sterling ya nissan xtrail inakuwa ngumu je shida inaweza kuwa nini
Cheki na power steering fluid (hydraulic) kama imepungua au kuna leakage. Hakuna sauti au mvumo wowote uusikiao ukiwasha gari?

Sent from my SM-J700F using Tapatalk
 
67 Reactions
Reply
Back
Top Bottom