Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,788
- 45,247
Kiongozi Asante Kwa msaada wako, nitamwambia jamaa yangu afutilie na kufanya hayo maelekezo ya YouTube, then nitarudisha feedback, Asante Kwa links nzuri, zimeongeza ufahamu mwingi kuhusu kuwaka Kwa taa kwenye dashboard na namna ya kuziondoa.
*Ila sina uhakika/ sifahamu iwapo Kuna uhusiano kati ya taa kuwaka Kwa taa na kuzima Kwa gari ama gari kugoma kuchanganya speed hasa kwenye mwinuko au Ukiwa kwenye foleni*
Aidha Asante Kwa kushare hio link ya RAV4 , inaonekana hizi RAV4 za miss Tanzania za kuanzia 2006 zina hili Tatizo la taa kuwaka na kukosa nguvu za kutembea/ kuzima, nadhani Hii ni fursa Kwa Mafundi wetu kubaini solution ya hili Tatizo ili waweze kusaidia wakati huo huo wakijiongezea kipato.
Nimejaribu kuangalia tena.
Wanadai vsc na 4wd light zinawaka as a prevention measure(system inadisactivate 4wd na vsc) ili kuzuia uharibifu mkubwa zaidi kwenye gari, i.e hamna shida kwenye vsc na 4wd ila zipo inactive kwa usalama zaidi.Hivyo nimejaribu kutafuta ufumbuzi wa tatizo la 'kustall' na kwenye forums nimekuta:
- inaweza kuwa ignition coil mbovu Rav4 Keeps Stalling [solved] - Toyota RAV4 Forums au
- loose hose 2006-2012 Toyota RAV4 Hose Check 2007 Toyota RAV4 3.5L V6 au
- loose "press Fitting"