Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Inaonekana unaipenda Harrier, licha ya gear box hata system suspension haitaki sana rough road na kama ni kuhitaji nafasi(space) ya ndani ya gari nenda kwa kluger 2AZ engine cc 2.4 (2360) 4cylinder with VVTi, kwa maoni yangu ni gari nzuri, very smooth kupata speed unayotaka hasa kama una safari za mikoani na resonable fuel consumption.
Lakini hapana!!! hapana!!! kwa kluger yenye V6 ya cc 3.0 hii lazima uwe vzr mfukoni,
Yote hayo ni maoni tu

But kuendesha v6 ama v8 kuna raha yake kaka duh! Nilikua mteja wa 4cylinder toka naanza kumiliki usafiri, but my v6 is making my ride even smoothier men! Ofcoz fuel itaongezela kdg kulinganisha na 4cylinder
 
There is wonderful feeling when driving something with big engine capacity
 
Naomba mwenye kujua sababu ya gari aina ya bmw series e 381i kutetemeka usukani ninapofikia speed 80. tafadhali nisaidieni maana inabido niende spidi mwisho 70 wakati gari ina 245. haina tatizo lolote lingine. naomba ushauri hapa baada ya mafundi kuongea vitu vingi tofauti. wengine wanasema bush, wengine wheel balacing, wengine wheel alignment, wengine matairi, please help
 
Nasubiri jibu kwa makini aisee, ishantokea sana
 
Naomba mwenye kujua sababu ya gari aina ya bmw series e 381i kutetemeka usukani ninapofikia speed 80. tafadhali nisaidieni maana inabido niende spidi mwisho 70 wakati gari ina 245. haina tatizo lolote lingine. naomba ushauri hapa baada ya mafundi kuongea vitu vingi tofauti. wengine wanasema bush, wengine wheel balacing, wengine wheel alignment, wengine matairi, please help

Hauna uwezo wa kumiliki BMW ndiyo maana inakusumbua unalazimisha tu, hiyo imeshachoka!
 
1) mwambie fundi wako angalie tyrod hand
2) cheki matairi
3) cheki boll joints....
Hapo lazima Utagundua tatizo na ku solve
 
Sio peke yako, mimi passo ikifika speed 110+ inatetemeka. Ila huyo wa wheel balance anaweza kuwa sahihi
 
Ni ball joints na stabiliser links zimechoka ni za kubadili! Hilo si tatizo sana kwa kuwa ukiongeza mwendo over 100kph hiyo hali hupotea

Kwa passo naona nyingi zina hiyo shida sometimes hata ukiwasha tu gari hutetemeka mpaka unafikiri pengine inaogopa kuendeshwa ila ukianza tu mwendo hiyo hali hupotea
 
Hiyi ni wheel balance jus go n check...
 
Ni ball joints na stabiliser links zimechoka ni za kubadili! Hilo si tatizo sana kwa kuwa ukiongeza mwendo over 100kph hiyo hali hupotea

Kwa passo naona nyingi zina hiyo shida sometimes hata ukiwasha tu gari hutetemeka mpaka unafikiri pengine inaogopa kuendeshwa ila ukianza tu mwendo hiyo hali hupotea

Sawa sawa mkuu nilijua kati ya ile list nliyompa lazima atapata suluhisho...Naona.. Amina thobias atakuwa ashapata jibu
 
Last edited by a moderator:
wana JF wataalamu, Ndugu Mashana Jr
jamani haya mambo ya kuingiza used cars kutoka nchi za nje kweli ni shughuli si ndogo. nitashukuru ndugu ufahamisho zaidi kuhusu haya yafuatayo
1. Ati handling charges ni tofauti na delivery order?? hizi zote bill nimeletewa na clearing agent. Sasa kama sio sawa, delivery order (DO) ni yakuhusu nini? na gharama zake kwa gari dogo ni kiasi gani? Pia handling charges huwa ni kiasi gani kwa gari dogo?
2. Ati storage charges huwa ni kiasi gani kwa siku? na huwaanza lini kutozwa tangu gari lifike bandarini? Lakini si pia huwa kuna grace period, ya bure hiyo huwa ni ya siku ngapi?
3. Ati kuna gharama za ukaguzi wa TBS??? aisee huu umeanza lini na ni gharama kiasi gani.
Shukran!
 
Naomba niwaalike ndugu N'yadikwa ndugu Kaizer na ndugu RRONDO
 
Last edited by a moderator:
Ndugu futota, gari Yako ukishalipia Cif, kinachofuata ni tra charges aka tax, then estimation ya kama $800 kwa ajili ya clearing and registration which Kuna chenji inabaki nyingi tuuu. For more help nipigie 0767328063 au whatssap me
 
Nipo pote dagii Kiutaalam haishauriwi mwaga yote hiyo ya total weka hiyo mpya kwa vipimo vyake! Lakini kwanini imepungua kiasi hicho? Je kuna leakage? Ni hatari kwa uhai wa gearbox pata fundi haraka kabla hujafanya mwenyewe

lazima ujue oil viscocity ni ngapi kabla ya kutumia engine oil vinginevyo maisha ya engine yako yatakuwa mafupi kutokana na viwango vidogo vya engine oil
 
Last edited by a moderator:
Nawashukuru sana mshana jnr na ansah miles , rav4 shida yake space ndogo sana! Mbona kuna wengine wanadunda nazo sana hizo hizo harrier?

Well..mi ningesema go for what your heart desires. Kama unaziona njiani maana yake zinapiga kaiznna gia zinabadilisha kama kawaida

Mimi nimeshawahi kumiliki hii mashine na sijawahi kujuta. Inapuga kazi kama kawaida hilo la gear box bana ninutunzaji wako kufanya service na kubadili gear box oil mara kwa mara.

Mimi nimeenda nayo vijijini na iko fresh tu. Sijawahi kupata ilo tatizo. Ingekuwa ni kubwa ivo usingeziona nyingi njiani.Ukipata new model za kuanzia 2004 ni poa zaidi.

Halafu hili la kushuka bei kuwa makini maana ni zile ambazo zimechoka sana...
 
Hauna uwezo wa kumiliki BMW ndiyo maana inakusumbua unalazimisha tu, hiyo imeshachoka!

Mkuu Barbados kwa heshima na taadhima hiyo sio lugha yetu hapa kwen huu uzi. Please usimdharau usiyemjua. Kuwa na uwezo na kujua ABC za gari ni vitu viwili tofauti. Huenda huyu ni daktari bingwa...

Cc mshana jr RRONDO Preta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom