Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hello, wadau naomba msaada wa mawazo maana mm sio mtaalamu wa magari Ila Kuna magari mawlili yamekuwa yakinivutia sana ambayo ni Raum pamoja na IST zenye cc 1490 ipi nzuri Kati izo mbili kwa maana ya ubora,upatikanaji wa vipuri kwa sababu mm ruti zangu nyingi ni za rough road ........nipeni msaada
 
Kwakweli zinashindana ila IST ni kama imebamba zaidi
 
Kumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo utunzaji na kadhalika.

Watu wengi wametapeliwa kwenye mauzo na manunuzi, kwenye nyaraka, kwenye vipuri kwenye matengenezo na hata matumizi.

Kwa Uzi huu basi kila mwenye ujuzi, uzoefu, ushauri au mwenye maswali na tatizo lolote linalohusiana na magari hapa ndio pawe uwanja wake

Karibuni sana

Ushauri: Jinsi ya kununua gari iliotumika ndani ya Tanzania

Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

USHAURI: Ununuaji wa magari...

View attachment 225786
Nasikiliza
 
Mkuu Mshana Jr nipe uzi wa gar izi mbili nazipenda sana moja wapo nataka niinunue
Bmw 3 series Gt 2013 na Bmw 5 series Gt ya mwaka huo huo nichimbie uzi wa maana
 
Mkuu naona ushauri ...gari niliyoanza nayo maisha ni vitz old model nimetumia kama miaka 3 ....nimepata mpunga mwingine ..nimeingiwa na hamu ya kubadilisha gari ...naomba ushauri ni ipi
 
Back
Top Bottom