Mada Maalum ya Madereva: Changamoto, Uzoefu, Vituko na Connections

Alaf dreva wa roli kabambikiwa kesi kuwa yeye ndio chanzo cha ajari. Hii nchi kuna watu hawana aibu kabsa
AFANDE TAARIFA YA AJALI:
KAB/TR/AR/16/2021(×)AJALI YA MAGARI MANANE KUGONGANA NA KUSABABISHA MAJERUHI NA UHARIBIFU WA MAGARI (×) MNAMO TAR 14/11/2021 MAJIRA YA SAA 18:30 HUKO KATIKA KIJIJI CHA KWEDILOMBA KATA YA KWEDIBOMBA TARAFA YA MZUNDU WILAYA YA HANDENI MKOA WA TANGA BARABARA KUU YA SEGERA-CHALINZE GARI NO.T.131 DVU AINA YA HOW YENYE TELA NO.T.329 DMR IKIENDESHWA NA SAIMON S/O KRISTO @MWANYILA, 36YRS, MBENA, MKAZI WA KIBAHA PWANI AKITOKEA KABUKU KUELEKEA CHALINZE ALIPOKUWA AKIJALIBU KULIPITA GARI LA MBELE YAKE MAHALA PASIPO RUHUSIWA NDIPO GHAFLA MBELE YAKE KUKATOKEA GARI NYINGINE ILIYOKUWA IKITOKEA CHALINZE KUELEKEA KABUKU YENYE NO.PT.4036 ASHOK LEYLAND MALI YA JESHI LA POLISI TANZANIA LIKIENDESHWA NA H.3637 CPL JUMA WA CHUO CHA POLIS CCP KILIMANJALO NA NDIPO DEREVA WA GARI NO.PT.4036 ALISIMAMA GHAFLA ILI KUEPUKA AJALI ISITOKEE NA NDIPO BAADA YA GARI HIYO KUSIMAMA GHAFLA IKATOKEA GARI NYINGINE KWA NYUMA ILIYOKUWA IKITOKEA CHALINZE KUELEKEA KABUKU PT.4087 ASHOK LEYLAND IKIENDESHWA NA F.7658 CPL JOHN ROBERT WA MAKAO MAKUU MADOGO YA POLISI DSM NA KUGONGA KWA NYUMA GAFLA TENA IKAJA GARI NYINGINE KWA NYUMA NO.PT.4097 ASHOK LEYLAND IKIENDESHWA NA F.5889 CPL KIGIRI WA POLISI MAKAO MAKUU MADOGO YA POLISI DSM NA KUSIMAMA GHAFLA PT.4087 ASHOK LEYLAND NA KUSABABISHA GARI NO. PT.2370 ISUZU BUS IKIENDESHWA NA G.6123 CPL ABEL WA CHUO CHA POLISI KIDATU NA KUGONGA UBAVUNI GARI NO.PT.4087 ASHOK LEYLAND PIA IKATOKEA TENA GARI NO.T.573 AYR TOYOTA COROLLA IKIENDESHWA NA AMIN S/O UR RASUL@KHAN, 60YRS, MKAZI WA TANGA NA KUSIMAMA GHAFLA BAADA YA KUONA AJALI NA KUSABABISHA GARI NO.SU 44275 GX V8 MALI YA TANESCO DSM IKIENDESHWA NA JUMA S/O HASSAN Lean NA KUIGONGA KWA NYUMA GARI HIYO NO.T.573 AYR TOYOTA COROLLA PIA IKASABABISHA GARI NYINGINE YENYE NO T.773 CND TOYOTA HILUX KUIGONGA KWA NYUMA GARI HIYO NO.SU.44275 GXV8 TANESCO NA KUSABABISHA MAJERUHI KWA WATU 16 AMBAO NI 1.D.8420 S/SGT JOHN MWAKIPESILE 2.PF.18891 INSP SISTER 3.G.6123 CPL ABEL AMBAO WOTE WATATU WAMEPELEKWA HOSPITALI YA RUFAA BOMBO KWA MATIBABU NA 4.PF.17534 INSP RASHIDA 5.PF.18326 INSP NYALUGEMBE 6.PF.17896 INSP GONGA 7.PF.18202 INSP SAID 8.PF.17166 INSP ALLY JUAKAL 9.PF.17899 INSP SANYA 10.PF.18445 INSP PANGANE 11.PF.17691 INSP PETER 12.PF.18719 INSP OHUSSO 13.PF.17321 INSP ILOMO 14.PF.18616 INSP ANTHONY 15.PF.17674 INSP ZONGHO 16.H.1659 PC GIFT (×) MAJERUHI WOTE WAMEUMIA SEHEMU MBALIMBALI ZA MWILI NA KUTIBIWA KITUO CHA AFYA KABUKU NA KURUHUSIWA (×) CHANZO CHA AJALI NI UZEMBE WA DEREVA WA GARI NO.T.131 DVU HOW YENYE TELA NO.T.329 DMR KUJALIBU KULIPITA GARI ILIYOKUWA MBELE YAKE PASIPO KUCHUKUWA TAHADHALI (×) DEREVA AMEKAMATWA YUPO MAHABUSU KITUO CHA POLISI KABUKU KWA AJILI YA MAHOJIANO (×) ENEO LA TUKIO LIMEKAGULIWA NA ACP. SOFIA JONGO RPC TANGA AKISAIDIWA NA SSP LEOPORD .N. FUNGU RTO TANGA , SP. ELIAS RWAMBANO OCS KABUKU, A/INSP RAJABU KAIMU DTO HANDENI PAMOJA NA G.3191 CPL MUSSA AMBAYE NDIYE AMECHORA NA KUPIMA ENEO LA TUKIO (×)///////////
TAARIFA KWA MAANDISHI INAFUATA //////////

TOKA RTO TANGA ///////////
IMG-20211117-WA0006.jpg
 
TOKA RTO TANGA ///////////View attachment 2013588
Sasa kwa taswira hii nan aliekuwa anataka kumpita mwenzie bila kuchukua tahadhari? Ama huko barabara zao wanapita kulia ?
Hap jamaa wa roli kaonewa mchana kweupe kabisaa. Na hao ndio polisi tunaowategemea kusumamia haki hui ni mfano tu jinsi watu wanavyobambikiwa kesi na polisi.

Hawana ata aibu maelezo na picha za kwenye tukio ni vitu viwili tofauti kabsa
 
Halafu wala hawajali na hiyo itabaki hivyo mpaka mahakamani na atahukumiwa
 
Aisee inaumiza sana hii kila siku tunarudisha nyuma kwaajir ya huu ujinga wa kuona watu wengne ni kama watakatifu
Polisi Mkoani Pwani wanamshikilia Dereva wa Bus la Sauli, Titto Gadau (32), Mkazi wa Mbezi Dar es Salaam kwa kosa la kulipita gari lililokuwa limesimama na kisha akagongana na Bodaboda iliyokuwa inakuja mbele yake eneo la Mathias Wilaya ya Kibaha na kusababisha kifo cha abiria wa Bodaboda hiyo, Emma Nambole huku Dereva wa Bodaboda Edwin Mwenda akijeruhiwa.

RPC Pwani, Wankyo Nyigesa amesema mwili wa Marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Rufaa Tumbi ili kufanyiwa uchunguzi wa kitabibu na Dereva wa pikipiki (majeruhi) amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Tumbi.

Nyigesa amesema chanzo cha ajali ni uzembe wa Dereva wa Bus kulipita gari lililokuwa limesimama na matokeo yake akagongana na pikipiki iliyokuwa inakuja mbele yake.
#MillardAyoUPDATES
FB_IMG_1637151068439.jpg
 
#MillardAyoUPDATESView attachment 2014111
Hapa ndipo wamiliki wa magari waone umhimu wa kuweka camera mbele na nyuma ya gari ili matukio kama aya yanapotokea iwe rahisi kupata ushahidi wa video.

Sasa hapo kosa ni kulipita gari lililokuwa limesimama au ni kumgonga bodaboda(napo uwezi sema ni kosa kabla uchunguzi haujathibitisha ) na kusababisha kifo?
 
Hapo ilikuwa kwenye kivuko cha Zebra gari ya mbele ilisimama kuwapisha wengine wavuke, Sauli aka overtake na kusababisha ajali
 
Watu 6 wamekata moto
: Walio pona ni 3 tu walio kaa siti ya nyuma kabisa maana iyo V8 ilikuwa na watu 9
Alafu ni gari ofisi ya waziri mkuu
MOROGORO KUNA STL IMEJICHANGANYA KWENYE 124
IMG-20211209-WA0195.jpg
 
Back
Top Bottom