Mada Maalum: Waliochaguliwa kujiunga chuo kikuu cha Dodoma 2017/18

Wakuu mi naomba maelezo zaidi juu ya fucult ya aquatic science utolewaji wake na mtunda yake yakojeee
 
Mtafungua tar 28 mwezi huu hivyo jiandae .Kuhusu admission letter fungua www.udom.ac.tz halafu nenda kwenye matangazo then bonyeza important note to all students utapata unachohitaji
Mbona nilipoingia hapo hakuna admission letter wala joining instructions ila ni maelekezo ya malipo ya ada na gharama za moja kwa moja kwa chuo.
 
Attachments

  • Important-notice-TO-ALL-STUDENTS-2017-9.pdf
    159.2 KB · Views: 83
Mbona nilipoingia hapo hakuna admission letter wala joining instructions ila ni maelekezo ya malipo ya ada na gharama za moja kwa moja kwa chuo.
Sasa mkopo unasaidia vip hapo ikiwa wanataka walipwe kabla ya kuriport tena 25 Oct
 
Back
Top Bottom