Mada maalum:Unajua wapi madini yalipo nchini,aina gani,changamoto zake na yamesaidia nini?

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,317
Wana JF habari,

Napenda kuweka mada maalum sijafahamu kama ipo tayari humu ndani itakayokuwa inaonyesha mahali madini yalipo,aina ya madini hayo,changamoto zake ktk eneo husika yanakopatika na mwisho wanainchi wananufaika na nini kupitia madini hayo ktk eneo lao.

Hapa tuweke pembeni habari kuhusu mchango wa madini ktk pato la Taifa ambalo ni manufaa ya jumla kwa kila mtanzania huyo inajulikana.

Najaribu kufikiri Uzi huu unaweza kutia picha halisi kutoka kila eneo madini yalipo na ndiyo utakuwa ukweli mwenyewe kuhusu rasilimali yenye mvutano sana kama wachingiaji tukiwa serious.

Kama Kuna mawazo mbadala ktk kuboresha Uzi huu ruksa.

Uwanja uko wazi.
 
Bila shaka unataka sheria zilizopitishwa juzi ndio zianze kutumika kule.

Ok, mimi sijui
 
Back
Top Bottom