Mada maalum: Tupeane uzoefu juu ya wasaidizi wa ndani/ Mahausi girls.

wangu anakaa na mtoto tu..nampa 50 na namnunulia kila kitu hadi pedi.
napika mwenyewe nafua mwenyewe na kila kitu kilivhobakia
huho ni msaidiz usitake afanye kila kitu.anza kumpa kazi moja moja mpaka azoeee unamuongezea kias ila sio kila kitu
Sawa
 
House girl naye ni binadamu inabidi uishi naye kama ndugu au sehemu ya familia.
Sio kazi zote unamuachia afanye yeye, kipato unachomlipa kidogo.

Ukiangalia umempa dhamana ya kukaa na mtoto na nyumba yenye vitu vya thamani.

Ukiishi nae vizuri na kumjali kama ndugu utadumu naye ila ukimpeleka lazima mwanao afanyiwe unyama na vituko ndani ya nyumba havitoisha.
 
Sawa, asante kwa ushauri.
 
Siku nyingine usiajiri fresh from bush ni tatizo kama hayuko mtu wa kumfundisha step by step.
Sipendi wasaidizi fresh from bush mimi.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom