Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ila isid inaonyesha wapo vizuri
Mnakumbuka enzi za katlego akiwa mjengoni alikuwa anajichetua na kale kashepu kila siku anawaka na ule muondoko sasa
Ila kuna siku nimemuona ana act kwenye scandal yani kachoka sio yule Wa zamani
 
Sio kwamba kachoka. Maisha ya ustaa yanawataka kuwa hivo.
 
Back
Top Bottom