Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Acha Wendy ajilie mafao na mzee Hendrik mwanzo mgumu! Wendy juzi kajipodoa mpaka Anja anashangaa kulikoni
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ auntie Wendy nae ana ukame jamani kha toka atoke jela..
Siku nilishangaa sana alivyojiremba.
Lalage saivi kagundua mumewe ana fao kaanza kujirudi.. Bila kusahau kina sibiya wanaomba kazi na mkopo
 
Yule Dada mweupe aliyekuja kwa sechaba kumtaarifu kuhusu kifo cha mjombaake yuko vizuri sana
Mtaratibu ana heshima yuko tofauti sana na lungi anayejifanya much noo
Sechaba atamwacha kweli?
 
sechaba atazaa na huyu mgenii phindile nimempenda bure huyu Dada..
tatizo siku hizi lungi amekuwa ana mikogo sanaaaa
 
lungi me sio mpenzi wako wa ndotoni tenaaaa.
yaani ulichomfanyie sechaba huko mbele sio cha kiungwana...
saivi nimehamia kwa phindile.. toto zuri lileee.. ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Back
Top Bottom