DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Ukiona hivyo ujue bajeti ya kutengeneza scene iwe kama real haikutosha.Sio uhalisia kabisa lakini walau iwe na ukweli kidogo wanataka kutuletea habari za Jamai raja
Ukiona hivyo ujue bajeti ya kutengeneza scene iwe kama real haikutosha.Sio uhalisia kabisa lakini walau iwe na ukweli kidogo wanataka kutuletea habari za Jamai raja
Ndio hapo hakukuwa na haja ya kutengeneza scenes hizo.Ukiona hivyo ujue bajeti ya kutengeneza scene iwe kama real haikutosha.
Naunga mkono hoja,nilianza kusema tangu Sibiya alipomvamia CEO ofisini. Hata hili la miners kuvamia pent house,hv hakunaga walinzi? Angalau tungeona hata walinzi wakipambana nao wakashindwa. Kama walivyofanya polisi.Ila naona Isidingo kuna matukio yanayoendelea sasa yanakosa uhalisia,tokea kuanza kwa Sibiya kuvamia ofisini kwa Ben na matukio ya jana naona kama kuna uhalisia umekosekana.
Hilo ndio hata mie najiuliza,yani kwamba kulikuwa hakuna ulinzi ile kabisa.Naunga mkono hoja,nilianza kusema tangu Sibiya alipomvamia CEO ofisini. Hata hili la miners kuvamia pent house,hv hakunaga walinzi? Angalau tungeona hata walinzi wakipambana nao wakashindwa. Kama walivyofanya polisi.
Penthouse ilikuwa inalindwa na wale wazungu....wale wazungu waliondoka a day kabla ya kuvamiwa na akina Sibiya, hiyo inaeleza kwanini hakukuwa na security....Naunga mkono hoja,nilianza kusema tangu Sibiya alipomvamia CEO ofisini. Hata hili la miners kuvamia pent house,hv hakunaga walinzi? Angalau tungeona hata walinzi wakipambana nao wakashindwa. Kama walivyofanya polisi.
Wale walikuwa walinzi binafsi wa Linc na familia yake,watekaji walivamia jengo zima na kuteka hata wafanyakazi wa Nzinga. Naulizia walinzi wa kampuni inayolinda Sibeko Tower.Penthouse ilikuwa inalindwa na wale wazungu....wale wazungu waliondoka a day kabla ya kuvamiwa na akina Sibiya, hiyo inaeleza kwanini hakukuwa na security....
Hata hivyo security inaweza kuwa compromised kwa rushwa or something.
Don't stress.....ni sinema tuWale walikuwa walinzi binafsi wa Linc na familia yake,watekaji walivamia jengo zima na kuteka hata wafanyakazi wa Nzinga. Naulizia walinzi wa kampuni inayolinda Sibeko Tower.
Nikahisi ni kwangu tu.ITV giza kulikoni
Dah! Inapita hivihivi yani namuona sibiya gizani jamani Mwenye plan BNikahisi ni kwangu tu.
Dah! Inapita hivihivi yani namuona sibiya gizani jamani Mwenye plan B
Yani wametuwezaNilikuwa naisubiri kwa hamu.
Yani wametuweza
Ndio nilitaka kuuliza nikajua labda mie tu.ITV giza kulikoni
Sio kidogo,halafu nimekuja mbio kama vile nimebanwa na haja kubwa.
Nikajua kwangu tuuITV giza kulikoni
That's the point chiefDon't stress.....ni sinema tu