Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ila naona Isidingo kuna matukio yanayoendelea sasa yanakosa uhalisia,tokea kuanza kwa Sibiya kuvamia ofisini kwa Ben na matukio ya jana naona kama kuna uhalisia umekosekana.
Naunga mkono hoja,nilianza kusema tangu Sibiya alipomvamia CEO ofisini. Hata hili la miners kuvamia pent house,hv hakunaga walinzi? Angalau tungeona hata walinzi wakipambana nao wakashindwa. Kama walivyofanya polisi.
 
Hilo ndio hata mie najiuliza,yani kwamba kulikuwa hakuna ulinzi ile kabisa.
 
Naunga mkono hoja,nilianza kusema tangu Sibiya alipomvamia CEO ofisini. Hata hili la miners kuvamia pent house,hv hakunaga walinzi? Angalau tungeona hata walinzi wakipambana nao wakashindwa. Kama walivyofanya polisi.
Penthouse ilikuwa inalindwa na wale wazungu....wale wazungu waliondoka a day kabla ya kuvamiwa na akina Sibiya, hiyo inaeleza kwanini hakukuwa na security....

Hata hivyo security inaweza kuwa compromised kwa rushwa or something.
 
Wale walikuwa walinzi binafsi wa Linc na familia yake,watekaji walivamia jengo zima na kuteka hata wafanyakazi wa Nzinga. Naulizia walinzi wa kampuni inayolinda Sibeko Tower.
 
Back
Top Bottom