Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Ndio raha ya Isidingo,mie kuna muda huwa naacha kidogo kuangalia kama story ya wakati haijanivutia na baadaye naendelea. Kuna muda isidingo kama ilipoa fulani hivi basi akarudishwa Pastor alikuwa hayupo pale HD,basi ilikuwa balaa.
Huwa na-enjoy pastor Gabriel akikutana na Sechaba au jinsi anavyomwogopa Ben...
 
Wadau najaribu kufuatilia Isidingo youtube lakini baadhi ya episode kuzipata imekuwa changamoto, kwa anayefuatilia huku msaada tafadhali unafanyaje kwa hii changamoto,,
 
Back
Top Bottom