Mada maalum kwa wapenzi wa Tamthilia ya Isidingo

Walipoanza kutoka toka tuu hawa raia ndo wakanfanya nisione uhondo wa Isidingo
mala sjui wendy mala Yule mzungu na familia yake daaaa najiona mpya asee
Ni kweli kuna watu kibao wametoka na wanazidi kuongeza watu wapya tu,ila hata mie kuna muda naachaga kuangalia huwa hainivutii kama kuna kipindi ilipooza hadi pale aliporudi Gabriel.
 
Back
Top Bottom