Mada Maalum kwa wale tuliokutana na Watu wanaoongea sana

Nilowahi kuhesabu siku moja tokea ameanza kuomgea mpaka namkimbia kwa hyo staili ni MASAA MAWILI.mkuu kweli hyo?

Masaa mawili mtu anaonhea yeye tena sio kwamba anakuuliza hamna.yeye akitoa stori hii anaweka ile akitoa ile anaweka hii yani hazishi mkuu
hii ndio mbinu pendwa
 
Huwa nachukua tu simu naanza kuperuzi,nakuitikia tu "ni sahihi!" Hata sjui umeongea nn.
 
Dawa yake ni kuhama hilo kundi halafu kakae peke yako huku ukisoma kitabu. Tena fnya hivyo mara kadhaa.

Mtaani kwetu kuna kikundi kina jamaa wana tabia hiyo. Toka January niliondoka na niliwaambia waziwazi kuwa kikundi chao hakinifaidishi.

Kuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote.

Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu utasiki 'sikiliza wewe mimi najua' ni hivi na hivi na vile.

Nyie waongeaji embu punguzeni kidogo na muwe na akiba ya maneno!
 
Back
Top Bottom