Gentleman96
JF-Expert Member
- Mar 12, 2019
- 912
- 1,666
- Thread starter
- #581
Kama hufanyi zoezi kinapoteaDah enzi zangu primary nilikuwa fundi sana wa kuchora sijui nilipotezaje hiki kipaji
Kama hufanyi zoezi kinapoteaDah enzi zangu primary nilikuwa fundi sana wa kuchora sijui nilipotezaje hiki kipaji
Tanzania kuna watu wana mabalaa yao kwenye sanaa ya uchoraji. Huyu jamaa ni mtu mwingine kwenye uchoraji. Heko kwako Obed. View attachment 1117240View attachment 1117241View attachment 1117242View attachment 1117243View attachment 1117244View attachment 1117245View attachment 1117246View attachment 1117247View attachment 1117248View attachment 1117249View attachment 1117251View attachment 1117253View attachment 1117254View attachment 1117255View attachment 1117256

Yote sawa!Hivi wakuu hivi uchoraji ni kipaji mtu anazaliwa nacho au ni utaalamu ambao waweza jifunza
Asee natamani sana kujua kuchora, yaani navutiwa kutaka jifunza kabsaYote sawa!
1. Ni kipaji (hilo halina Ubishi
2.mtu anaweza kujifunza (lakini mtu aliejifunza tu bila kuwa na kipaji hata kidgo Sidhani kama ataweza kufanya jambo kubwa
Asee natamani sana kujua kuchora, yaani navutiwa kutaka jifunza kabsa
Kujifunza ni vyema!
Hata wachoraji wakubwa hujifunza tena darasani,
HongeraUmenipa moyo mkuu
Nikitaka niulize, ni Obed wa Mwanza! Huyu jomba ni hatari kupita maelezo. Kachora sana Salon za Mwanza miaka ya 90, na anavyoanza ka masikhara tu, ndo anamaliza hivyoJamaa mmoja hivi yuko Mwanza ni taabu sana. Nilikutana naye nikaduwaa ana makeke sana kwenye uchoraji.
AiseeP. GonzalezView attachment 1131143
P. GonzalezView attachment 1131143
Salman Mohamed Al ShaikhView attachment 1133987
Hatari sana