Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Habu Abba kaka
FB_IMG_15624915262573742.jpeg
 
Kama una muda wa kupumzika,
Tumia kuchora chora hata katuni, wanyama simple simple..
Utaona tofauti kabisa kila siku
ushauri napitia njia gani nireboot akili haraka ili kipaji kilichozama kiibuliwe na kuniletea tija maishani?
nimejaribu kutafuta wadau nimekoswa. natamani iwe kama hobby kama wengine wanavyojipumzisha kwa kuangalia soka.
 
Back
Top Bottom