Tahadhari na kinywaji cha Al-Kasusu

Ushawai kutumia mkuu ?
Hapana sijawahi mkuu,shida uandaaji wake huwa naufikiria maana unakuta mtu ana michupa mitatu mixer kifuko cha vikombe vyote kashika yeye akiitwa anaweka chupa chini anashika vikombe vyote kwa mikono,humo barabarani akikutana na mtu wanayefahamiana ataweka chupa chini kisha watapeana mikono sasa najiuliza anajua kabisa anawauzia watu chakula kuwaje ashikane shikane mikono hovyo na watu?

Kama mtu katoka kufanya haja zake huko usalama wa mlaji uko wapi?muuzaji mwenyewe naye unakuta kanzu chafu chini kavaa sandals chafu chafu alimradi vurugu nikiangalia hivi naona bora hata nisionje,ila kusema inaongeza sijui nguvu...wala usiamini,ni uwongo maybe kwa sababu sijawi kutumia ila ukweli ni huo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Hata kahawa za vijiweni vile vikombe vinasuuzwa tu kishikaji na maji hayo hayo mwanzo mwisho.
Yah ni hatari sana mkuu hivi vitu mwisho wa siku mtu unajikuta na wewe unaumwa TB au magonjwa ya kinywa unaanza kumuhisi mwenzako nyumbani anakuchezea rough kumbe kulakula kwako hovyo ndo kumesababisha.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Ni matakwa ya wale watengenezaji, kuna dogo mjini namfahamu vizuri na ni Christian, nilionana naye umevaa kanzu na kasusu anauza nikamuuliza umehamia upande wa pili? Akasema hapana ametafuta kanzu ili apate kazi, ile alikasusu inaandaliwa na baadhi ya watu, kigezo cha kupata kazi lazima uende na kanzu, maana ukiuza unapeleka hesabu.
 
nyie ndio mmejibu hoja moja kwa moja asanteni kwa msaada wenu, wengine wanaruka ruka tu kwenye dini.
Ni matakwa ya wale watengenezaji,kuna dogo mjini namfahamu vizuri na ni Christian nilionana naye umevaa kanzu na kasusu anauza nikamuuliza umehamia upande wa pili? Akasema hapana ametafuta kanzu ili apate kazi, ile alikasusu inaandaliwa na baadhi ya watu,kigezo cha kupata kazi lazima uende na kanzu,maana ukiuza unapeleka hesabu
Kanzu ni vazi Bora kuliko vazi lolote duniani, ni vazi ambalo ukilivaa utaheshimika zaidi kuliko mavazi mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikombe cha al kasusu
Kiukweli kuhusu usafi ktk wauza vyakula na vinywaji matunda yalio andaliwa kwakukatwakatwa tayari kwa mlo tz nishida

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijawahi mkuu,shida uandaaji wake huwa naufikiria maana unakuta mtu ana michupa mitatu mixer kifuko cha vikombe vyote kashika yeye akiitwa anaweka chupa chini anashika vikombe vyote kwa mikono,humo barabarani akikutana na mtu wanayefahamiana ataweka chupa chini kisha watapeana mikono sasa najiuliza anajua kabisa anawauzia watu chakula kuwaje ashikane shikane mikono hovyo na watu?

Kama mtu katoka kufanya haja zake huko usalama wa mlaji uko wapi?muuzaji mwenyewe naye unakuta kanzu chafu chini kavaa sandals chafu chafu alimradi vurugu nikiangalia hivi naona bora hata nisionje,ila kusema inaongeza sijui nguvu...wala usiamini,ni uwongo maybe kwa sababu sijawi kutumia ila ukweli ni huo.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni take away na kina mikono ya kushikia
IMG_20200124_065359_4.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom