Napenda niwaombe Watanzania kinywaji cha al kasusi ni hatari kwa afya yako hasa upande wa high blood pressure. Al kasus hii sio hiyo wanayoitumia Waarabu, ladha tofauti kabisa.
Wauzaji wa al-kasus wamejificha kwenye kuvaa kanzu ili unapomuona kavaa kanzu una uhakika na imani na unachokunywa, kumbe tofauti kabisa.
Vitu wanavyochanganya Mungu anajua. Wanaweka maziwa kuongeza harufu nzuri na ladha.
Al kasusi Waarabu wanaitengeneza bila maziwa na bila kahawa yenyewe kama yenyewe na nilikuwa nakunywa sana Dubai.
Hapa Tanzania nimejaribu kunywa jana matokeo yake nikajiona siyo kawaida nikachukua mashine ya kupima presha nikakuta inasoma sys 185/110.
Jihadharini. Kuna baadhi ya watu nimewauliza wanasema wanahisi wanachanganya na unga wa viagra ili kupata wateja. Viagra imeua watu wengi sana na wengine ni wagonjwa wa moyo.