Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Sasa iliyoanza production ni 1hz ikaja 1hdt hilo liko wazi kuwa hd imo more advanced na ndio maana zote zina engine displacement sawa 4.2 ila ukweli kuhusu turbo uko wazi kuongeza nguvu ya injine na kupunguza ulaji wa mafuta.

Mkuu bado huna vitu huvielewi.

Turbo inapunguzaje ulaji wa mafuta kwenye gari?

Audi A4 1.8L ina turbo ila ina the same fuel consumption na Audi A4 2.0L. Hapo turbo imesaidiaje?

1HZ ni pure mechanical wakati 1HDT ina mifumo mingi ya umeme na electronic.

Mfano wa Mwisho 1az-fse na 1az-fe ni engine ambazo zina displacement sawa ila zina fuel consuption tofauti hata kama zimefungwa kwenye gari moja.

1az-fse ni D4 hivyo mafuta yanaingia direct kwenye engine. Engine inarun leaner na inatumia mafuta kidogo.

Utofauti wa technology moja ya direct injection umefanya 1az-fse kuwa na matumizi mazuri ya mafuta kuliko 1az-fe.
 
Msaada wana jamvi leo nimetoka kufanya service ya gari sasa fundi alidisconect battery a badae akairudisha ila jioni hii nikiwasha gari linajizima lenyewe ni subaru forester
 
Nikipiga starter gari linawaka then linazima nikijaribu tena linawaka vzuri ila nikizima nikapiga starter hilo tatizo linajitokeza na dashboard iko clean pia after service gari limeoshwa
 
Nikipiga starter gari linawaka then linazima nikijaribu tena linawaka vzuri ila nikizima nikapiga starter hilo tatizo linajitokeza na dashboard iko clean pia after service gari limeoshwa
Battery huna hapo mkuu
 
Maelezo yameshiba.

Summary:
You hardly press the gas pedal in N/A engine to achieve fast speeds. It takes too much fuel!

You lightly press the gas pedal in turbocharged engines. It takes minor fuel!
 
Nikipiga starter gari linawaka then linazima nikijaribu tena linawaka vzuri ila nikizima nikapiga starter hilo tatizo linajitokeza na dashboard iko clean pia after service gari limeoshwa
Plugs hizo zimeingia maji Kama sikosei zikifutwa fresh inakua sawa
 
Kwa nini tubro zinauzwa mkononi kuliko non turbo?sijapata jibu.
Screenshot_20211201-213319.jpg
Screenshot_20211201-213136.jpg
Screenshot_20211201-213123.jpg
 
Back
Top Bottom