macOS kwenye Thinkpad T450

racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,041
1,530
Nime install Apple macOS kwenye Thinkpad t450. Kwa wale wanaotaka kudevelop iOS/macOS apps, video editing on Final Cut Pro X, Music production on Logic Pro X na hauna MacBook, basi Hackintosh ndio njia.

A Hackintosh is a computer that runs an Apple Macintosh operating system ("macOS" or "OS X") on computer hardware not authorized for the purpose by Apple.

Kwa wale wanaohitaji kwenye laptop zao ni PM.

Kwa wanaotaka kufanya wenyewe: Getting Started

20201009_112928.jpg
 
View attachment 1594832
Vipi kuhusu hardware drivers kama vile display, na track pad? Zinakubali fresh?
 
Hzo hazina shida hata kdgo. Shida inakuaga kwenye wifi drivers na audio. Wifi card nyingi za intel hazipo supported kabisa. So unabadilisha card tu na mambo yanapiga kazi
 
Back
Top Bottom