Machozi tena ya Naomi Cambell | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machozi tena ya Naomi Cambell

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Zhule, Nov 21, 2009.

 1. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 2. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #2
  Nov 21, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
 3. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #3
  Nov 21, 2009
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,057
  Likes Received: 3,984
  Trophy Points: 280
  Waulize CCM na wadanganyika
   
 4. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #4
  Nov 21, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pamoja na hali kama hiyo bado kuna mpuuzi mmoja anatumia shs mil 50 kununua mapambo ( maua ya plastiki, meza na mazulia ya kifahari) na pia bado watanzania wanawapa kura CCM. Huku sasa ndiyo kurogwa ama kulishwa limbwata na CCM
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 21, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  "Mpuuzi" yupi huyo? Hana jina?
   
 6. A

  AM_07 Member

  #6
  Nov 21, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wazungu wanapenda maana anafanikisha unyunyaji wao, kwa makampumi feki na uwekezaji wa kipuuzi ila mkwere yeye kichwa kinakuwa kikubwa hadi kinamshinda kubena, watanzania kama ni wanaume tuliingia choo cha kike kama wewe ni mwanamkwe uliingia choo cha kiume
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hiyo ndiyo bongo!
   
 8. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mpuuzi huyo ni Dr Idrisa Rashidi mkurugenzi mkuu wa Tanesco
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Whhaaaatttt!!!???
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  naona maisha yetu ni magumu sana hasa kuna baadhi ya hosp ukitembelea unaweza kuzimia
   
 11. R

  Rodelite JF-Expert Member

  #11
  Nov 26, 2009
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 320
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hivi waziri wa Elimu anafahamu habari hizi...?
  Inatakiwa katika mkutano wake ka JK...suala hili liwe ni moja wapo katika "agenda"...!!! Damn...!!! Viongozi kweli hatuna....!!!
   
 12. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #12
  Nov 26, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni photo copy tu haya Hali halisi za maisha ya Watanzania, Nawashauri wenzangu wenye uwezo wa Usafiri jaribuni kuzitumia siku zenu za mapumziko kuzunguka mikoani na kuona maisha ya Watanzania wenzetu waishio vijijini.

  Nadhani tunaweza kupata fundisho zaidi kuliko kukaa mijini na kujisahau kabisa. Ndugu zetu wanaishi maisha magumu sana , Maisha ambayo hata Mbuzi hatoyastahili kabisa. Ndugu zetu wa vijijini wana hitaji msaada mkubwa kutoka kwetu sisi tuishio mijini . Kwa kumshirikisha Rais wetu ktk hali hii ya kupambana na umaskini haitosaidia kitu kwani tumeshauona UFA mkubwa ambao hatuna budi kukubaliana nao.TUNA VUNA KILE TULICHO PANDA..!!!!!
   
 13. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #13
  Nov 26, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Serikali ni ya kulaumiwa 100% lakini na sisi WABONGO tubadilike jamani, tujifunze utamaduni wa wenzetu, tusiisubiri serikali, kila mmoja atimize wajibu wake. Let's all get involved in making a change for God sake! Sisi tumezidi kulalamika bali hakuna vitendo!Tofauti yetu na mzungu ama mtu aliekulia utamaduni wa Magharibi ni kwamba mzungu mara baada ya kuona kitu kama hii, anaingia kazini yeye binafsi kutafuta ufumbuzi na kutoa msukumo unaotakiwa, iwe ni celebrity, mwanafunzi ama hata mtalii wa kawaida lakini sisi wengi wetu tunakimbilia kupayuka tu. Zhule na wengineo suluhisho wakati mwengine sio kusubiri Serikali, ukiona hali kama hii jiulize na wewe sio serikali tu, nini unaweza kufanya kusaidia?
  Nakupa mfano mdogo endapo hali kama hii angeliiona gap year student kutoka UK, angeweza kueneza habari kwa madhumuni ya kuchangisha hela na likajengwa japo darasa moja pengine baada ya mwaka, Sasa kama wenzetu wao wana mwamko kama huu kwa nini sisi tushindwe?
  Kama kwa mfano mwengine wiki iliyopita kulikuwa na charity appeal ya kuchangia disadvantage children wa UK (BBC children in need) na wanaochangia wengi ni wananchi wa kawaida kama wewe na mimi, hela inayopatikana inasaidia miradi mbalimbali ya hawa watoto, iwe ni huduma za afya, elimu nk. mwaka huu pekee walichanga kiasi cha £20,309,747 ikiwa wastani wa pauni millioni 20 kupatikana katika siku 2 tu!!!! Sio kama nataka kufananisha wao na sie ila kwa nini na sisi tusiwe na walau vijiharambee vidogo kama hivi? Si tunaona watu wanachangia vitu vya kibwege kama BSS na big brother? mfano mdogo iwapo kutakuwa na appeal kama hii na kila mtu atapiga simu ama kutuma text kwa gharama ya shs.500, watu 20,000 pekee zitapatikana shilingi millioni 10,000! Tosha kujenga madarasa walau matatu.
   
 14. L

  Lampart Senior Member

  #14
  Nov 26, 2009
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Nd. Kweli,

  Hayo uyasemayo ni kweli tupu, lakini sisi Watanzania shida yetu kubwa ni kuwa pesa zetu zinaliwa bure bure na wakubwa. Tungelikuwa hatuna kitu hapo tusingelisema mengi, lakini tunacho kila kitu isipokuwa viongozi bora tu hatuna na ndio maana tunapiga kelele.
  Sasa tujinyime sisi wenyewe ili tuchangie kujenga mabanda ya shule wakati Bw. Chenga ananunua Radar moja kwa bei ya 3 na tunamuachia?
  Much can be done with limited resources, but with unlimited imaginations!!! Imaginations hatuna na hicho kidogo Bwana Chenga anatunyanganya mdomoni!!!
   
 15. Zakumi

  Zakumi JF-Expert Member

  #15
  Nov 27, 2009
  Joined: Sep 24, 2008
  Messages: 4,817
  Likes Received: 327
  Trophy Points: 180

  Wewe sister acha uongo. Kama unaweza kuzimia, si ungekuwa umezimia siku nyingi. Na kwa sababu huko hapa unadunda happily, hitimisho ni kuwa hujawahi kutembelea hizo hospitali au hali katika hospitali hizo zinakubalika kwa watanzania wengi.

  Hivi ni kweli wanaJF na waandishi wa habari wanashtuka baada ya crackhead Naomi kutoa machozi?
   
 16. Z

  Zhule JF-Expert Member

  #16
  Nov 27, 2009
  Joined: May 22, 2008
  Messages: 354
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwaiyo serikali yetu ni disadvantageous?unajua pesa zilizotengwa kwa ajili ya vitafunwa ni shilingi ngapi wizara ya fedha?Unafahamu pengo la mishahara ya wanaojihita exacutives na watumishi watendaji ni shilingi ngapi? unafahamu Kagoda, meremeta, deep green, richmond, iptl,ticts, etc. Usiongee tu kwa sababu unamidomo.serikali yetu haiwezi kushindwa kujenga madarasa. ufahamu africa? pamoja na mishahara midogo tunayopata watengemezi ni wengi mno. watanzania wanawaudumia hadi majirani, ndugu wanasaidiana sana.
   
 17. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #17
  Nov 27, 2009
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
 18. nzalendo

  nzalendo JF-Expert Member

  #18
  Nov 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,875
  Likes Received: 2,681
  Trophy Points: 280
  nadhani maduka ya bunduki yafunguliwe bongo.
  MANAKE WATU HAWANA ADABU.
   
 19. locust60

  locust60 Senior Member

  #19
  Nov 27, 2009
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kabla ya kuanza kuraumiana kwamba tuliingia cha kike au chakiume je kulikuwa na mbadala? au tuingie cha waremavu?
   
 20. M

  Matarese JF-Expert Member

  #20
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Well said mwananchi, hizo nchi anazozisema watu wanalipa kodi na wanaona jinsi kodi yao inavyofanya kazi vizuri na ndo maana wanapata ari ya kuchangishana. Sisi kwetu mmh ni balaa tupu, kodi zetu ndio zinapangiwa vitafunwa, kununulia magari ya kifahari(mashangingi), semina ngurdoto, kama hivyo kununulia maua na mapambo yaani inasikitisha! Katika hali kama hii nani atakuwa na moyo wa kuchanga?
  Yote kwa yote sisi wenyewe wananchi ndio tunapaswa kulaumiwa kwani wakati wa uchaguzi ukifika tunawarudisha tena hao hao wezi madarakani tena kwa kishindo, hivyo acha tuendelee kuteseka kwani ni matunda ya tulichopanda. Labda kizazi baada ya chetu ndio kitabadilika ila kwa hiki chetu, no way. May God have mercy upon us!
   
Loading...