Machozi ndani ya daladala itangazwe magazetini na kwenye TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machozi ndani ya daladala itangazwe magazetini na kwenye TV

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Watanzania, Oct 11, 2010.

 1. W

  Watanzania JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 727
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hii threadi imeniliza sana. Naandika hapa kuonyesha hisia zangu kutoka ndani ya moyo wangu. Imeguza hisia ya kila Mtanzania mwenye moyo wa nyama. Hii ni threadi ya watanzania wote. Ombi kwa mwandishi na JF, mfano Mwanakijiji, fanyeni utaratibu ili bandiko hili litoke kwenye magazeti, lisomwe na watanzania wengi. Pia threadi hii iigizwe na kurushwa kwenye Tv. Hii ni muvi halisi ya kuangaliwa na Watanzania wote. Iigizwe pia kwenye mikutano ya kampeni inayoendelea sasa na itumike kufundisha elimu ya uraia siku zijazo. Ile ya mama muuza ndizi ya Dilunga nayo safi sana.

  Asante JF, asante Mubezi mwandishi wa makala hii-libarikiwe tumbo lililo kuzaa, na Mungu atapangusa machozi yetu na atakubariki daima.
   
Loading...