Macho yetu yaelekee Dodoma...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,991
Habari za kuaminika kutoka katika kona muhimu Dodoma zinasema kuwaj mmojawapo wa wabunge machachari Bungeni anatarajiwa kutoa hotuba muhimu sana Bungeni kuhusu mojawapo ya masuala nyeti ya Taifa letu. Yawezekana hotuba hiyo itatolewa leo (jumatatu) au siku mojawapo wiki hii.

Hotuba hiyo ambayo vyanzo vyetu vinadokeza kuwa ni "defining moment" inatarajiwa kugusia masuala karibu muhimu sana ambayo yanahusu mustakabali wa Taifa letu.

Hivyo, kwa wale ambao wanafuatilia mambo Bungeni, macho yetu yote yanaelekea Dodoma. Swali ambalo baadhi yetu tunajiuliza ni "je hotuba hii muhimu itaonwa na kusikika na Watanzania wengi au itahujumiwa kama ile ya Dr. Slaa?". Jibu lake ni muda tu tutaona.
 
Ni ya Zitto hiyo...Tunaisubiri!
Alituahidi something!
I cant wait!
 
Si ajabu isionyeshwe tena katika TV kama walivyofanya katika hotuba ya Dk Slaa.
 
Hawana haja ya kuonyesha.
Watuletee hapa.
Halafu wananchi wataelezwa.
Kwanza mimi nashangazwa sana na ccm kutoonyesha habari hizo kwa vigezo vya siri.
Walete tu hizo habari na sisi tutafanya uchambuzi kwa niaba ya wananchi.
 
I Wish Klhn Ingekuwa Inatuletea Live. Anyways I'm Still Waitin. Na Mzee Mnkjj Umeahidi Kitu Jumatano Piaa. Yangu Macho Na Masikio.
 
Mie Naomba iletwe hapa hapa tuisome kabisa,mambo ya kusubiri Tido Mhando aonyeshe itatuletea matatizio
 
Kama hotuba za bunge zikifanywa siri bunge ni la nini?
bunge ni la wananchi ama ni la siri za jeshi?
NA KAMA NI SIRI,IPI HIYO?
LETENI HOTUBAZ
 
jamani mtatuua mwaka huu, nyumabi tabu, bia tabu, siasa tabu, vyuoni tabu.... ndinalioo
 
Mie nafikiri kabla hatujafikia mstakabali wa kusupport Tv labda tuanzie kusupport radio itakayorusha hewani mambo ya bunge!
 
Back
Top Bottom