Kila mtu anakubaliana na hili except, do they have options kama zako?Kwenye hili la Wamachinga nitasimama na serikali yetu. HAIWEZEKANI WAMACHINGA WASAMBAA NA KUFANYA BIASHARA KILA MAHALI..tena tulichelewa sana kufanya uamuzi juu ya hili. BARABARA ZOTE ZA MIJI ZIMEJAA VIBANDA NA HAMANA KULIPA KODI. big NO to Machingas
Je ungekuwa huna ajira na hali hiyo walioyonayo could you have uttered these words?
Wamachinga ni watanzania kama wewe, kama hawajatafutiwa namna nzuri basi hakuna mwenye haki ya kuwasema vibaya