Macho yangu yameona haya ktk tanzania yetu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Nitaweka mambo mengi tofauti katika uzi huu.
1. Tbc2, wabunge wengi wamelalamika bungeni kuomba tbc1 izidishiwe ruzuku ili kurusha matangazo kwa ubora sahihi, ila wamesahau tbc2 inafuja kodi za walalahoi kwa kupiga muziki masaa ishirini na nne tena kwa ubora mzuri. Sasa sijui kama serikali inadhani muziki ni bora kuliko documentaries. Tena muziki unaopigwa asilimia kubwa ni wa majuu. What this!?

2. Ukuzaji wa kiswahili. Mbali na mapendekezo katika ukuzaji wa kiswahili bado serikali haijaafik swala hilo. Mf. Kipind cha kiswahili hurushwa mara moja kwa wiki tena ni cha dk 30, are they serious? Muziki ni kila siku tena ni masaa mawili hadi zaidi. Nchi hii kwa vioja kila jioni tbc1 muziki, tbc2 muziki. Tumeweka burudani mbele kuliko mambo mengine. Ni aibu kuona hata documentaries za serengeti au mikumi kuwa ktk kiiengereza. Tena hatujaziandaa sie na wala tbc haina muda ila kupiga muzik kama television station binafsi.

Hayo ni baadhi ya mambo yanayo nifanya nitest seriousness ya government yetu. Kimsingi tbc2 ni ufujaji wa kodi za walalahoi.
 
Back
Top Bottom