MACHO YANATAKA KUONA.

samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
7,819
2,000
Tabia hii tumeitumia toka uhuru mpaka leo namaanisha pale mkoloni alipotuachia taifa 1961.

Leo 1/1/2017 tubadirike sasa, Tuache kuongelea kwenye makaratasi na kuthibitisha kupitia makaratasi tuanze kufanya vitu vinavyoonekana kwa MACHO ya kila mtu na sio yale macho ya kichawi pekee. MACHO yanataka kuona sio kusoma, ukweli uonekane kwa macho na kila mtu aone na kama sio kila mtu basi hata 90% waone na hao 10% watabaki wale mashabiki..

Ukweli ukiwepo nguvu yakuutetea inakuwa ndogo sana maana macho yameona tayari.... MACHO YANATAKA KUONA SASA...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom