Macho na masikio yapo kanisani ufufuo na uzima kwa bishop Gwajima

Leo anapewa collabo la Nguvu na Kakobe muha mwenzie...jamaa wana roho ya ajabu sana.Ila Mungu hujibu kwa moto huo moto hawata ukwepa.
Hahaha " Jamaa hawana Haya kabisa hawa " ... sijapata kuona mimi
 
Wataalam wetu wa masuala ya body language hamjatoa ufafanuzi siku ile alivyofanya press conference,Leo mjaribu kumsoma halafu mje na uchambuzi wa kutosha
 
Wataalam wetu wa masuala ya body language hamjatoa ufafanuzi siku ile alivyofanya press conference,Leo mjaribu kumsoma halafu mje na uchambuzi wa kutosha
 
Back
Top Bottom