Kwa kweli nimeangalia hiyo video clip, si hiyo tu bali kwa kuweka vcd original sehemu hiyo kwa kuplay slow speed nikagundua nia yako.
Sina hakika sana na lengo lako nadhani ni maumbile yake kutokana yeye alivyo. Ngoja nitulie nisiseme sana kama huoni vizuri chukua mkanda au vcd ya wimbo huo halafu chungulia kwa makini utagundua kwa nini mtoa mada anasema macho hayana pazia.
Kweli watu mnachunguza, mimi nilikuwa sijui kitu hicho.
jamani mmegundua nini?mkuu unasemea kinacho onekana kwa chini au?