Damy Scotty
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 717
- 453
Habarini wakuu, asee nmebahatika kuiona product moja ya bluetooth speaker ya hawa jamaa wanaitwa JBL aisee hako kaspika kalivyo na sound inayotoka huwez amini its like a complete music system..ni balaa.
Leo ndo nmeamini Tanzania kuna vitu vingi sana vya ukweli ambavyo havitufikii na hii siyo hivi vifaa vya muziki tu bali vitu vingi sana..
Naona kuna kitu hakiko sawa yani mule hawanusi Sony, Lg wala Samsung..hatari sana hawa JBL.
Kadude kenyewe ni hako hapo