Chaggabeibe
JF-Expert Member
- May 26, 2016
- 246
- 339
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataenda soon, kila jambo huanza taratiiibu.Mbona gogoni hawaendiiii...pumbav zao
Fix za mchana mchana. Kwa hiyo ukawapiga eeeh! We kweli nomaKuna mmoja pale Msimbazi nilijichanganya nikakanyaga mashuka yake akaanza kumaindi,wee wee alijuta siku ile kufungua biashara yake maana nilipiga wakajifanya kutaka kumsaidi nikawaingiza kwenye vipigo wote,basi watu wenye maduka wakawa wanasema safi sana maana wamezidi viherehere kisa wameruhusiwa na Magu.
Kwani unanipunguzia nini kwa wewe kusema haujaamini .........??Fix za mchana mchana. Kwa hiyo ukawapiga eeeh! We kweli noma
Wale jamaa wanavuta bangi,wewe utakua unapuliza shisha, si kwa miguvu hiyo, ukawapangua pangua aah we kweli ni hatari atii! Nibgekua sijaolewa ningekuomba unioe hata mke wa 4Kuna mmoja pale Msimbazi nilijichanganya nikakanyaga mashuka yake akaanza kumaindi,wee wee alijuta siku ile kufungua biashara yake maana nilipiga wakajifanya kutaka kumsaidi nikawaingiza kwenye vipigo wote,basi watu wenye maduka wakawa wanasema safi sana maana wamezidi viherehere kisa wameruhusiwa na Magu.
Mpe tu sio lazima akuoeWale jamaa wanavuta bangi,wewe utakua unapuliza shisha, si kwa miguvu hiyo, ukawapangua pangua aah we kweli ni hatari atii! Nibgekua sijaolewa ningekuomba unioe hata mke wa 4
Fix za mchana mchana. Kwa hiyo ukawapiga eeeh! We kweli noma
Aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Safi sana wapange mpaka baharini.
Pamoja comradeAha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!
Mpe kidogoWale jamaa wanavuta bangi,wewe utakua unapuliza shisha, si kwa miguvu hiyo, ukawapangua pangua aah we kweli ni hatari atii! Nibgekua sijaolewa ningekuomba unioe hata mke wa 4
imeshindikana kwa kweli,sio rizki yanguMpe kidogo
Wengine hatufanyi show za nje only ndani,Mpe tu sio lazima akuoe