Mkuu chakaza kitambulisho hivi vina picha au utambuzi wa alama za vidole? Je mi naweza muazima mdogo wangu akafanyia biashara,Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Ni upande wa wafaidika wa hiyo 20000. Jana walikuja kwa mbwembwe humu wakimfananisha JW na Nabii Musa kumbe watu wamekaa kimya wanatafiti ujanja wa wenzi kuwadanganya watoto kwa pipi ili wadanganyike waibe kirahisi.Mnamponda mtoa mada kwa sababu zipi? fafanua.
Nimependa mchango wakoKijana, hiyo ndo kodi yenyewe sasa. Wameshindwa kuwakaba wamachinga mmoja mmoja kudai kodi, wameweka hii.
Wametumia ujanja kuwapata. Kwa hiyo machinga ukikutwa hauna kitambulisho ni sawa na duka kukutwa bila TIN na leseni ya biashara.
Jamaa janja kichizi. Huku machinga wanachekelea hawatalipa kodi kule CDM wanasema jamaa anakurupuka. Hahahaha
Habari ndo hiyo.
Mimi yangu macho ni kwenye box la kura 2020. Kuna uwezekano mkubwa wa Magu kupata ushindi wa asilimia 85%
Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
wewe ndo umemwelewa vizuri kabisa riisKijana, hiyo ndo kodi yenyewe sasa. Wameshindwa kuwakaba wamachinga mmoja mmoja kudai kodi, wameweka hii.
Wametumia ujanja kuwapata. Kwa hiyo machinga ukikutwa hauna kitambulisho ni sawa na duka kukutwa bila TIN na leseni ya biashara.
Jamaa janja kichizi. Huku machinga wanachekelea hawatalipa kodi kule CDM wanasema jamaa anakurupuka. Hahahaha
Habari ndo hiyo.
Jamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Acha kuongeza chumvi weweJamani hakika sisi wamachinga sasa tumekuwa punching bag hasa kinapokaribia kipindi cha uchaguzi kama huu unaokuja wa serikali za mitaa.
Hivi kweli inaingia akilini Passport kubwa ya kusafiria inayotengenezwa kitaalamu sana imgharimu Mtanzania shs 150,000/ pekee kwa miaka 10 yaani wastani wa shis 15,000/ kwa mwaka na sisi wachumia juani kale kakadi katugharimu 20,000/ kwa mwaka mmoja?
Au gharama hiyo ni kwa vile hatutapigwa mabuti na virungu hivyo lazima tutoe chochote kwa serikali kama protection cost?
Haileti maana, au mimi ndio sielewi? TUHURUMIENI WAKUBWA KAMA NI KURA NJOONI MUMWAGE SERA SIO KUTUBAMIZA
Uko vzr kunywa soda kwa Mangi hapoNafikiri hii ni trailer tu picha kamili bado
Akikutwa mwingine kakushikia na kitambulisho chako naona itakula kwako itaonekana kama umemuuzia sasa hapo mziki wake ni kama ya kwenda kuonyesha shamba la korosho
Nafikiri hii ni trailer tu picha kamili bado