Machinga: Rais Samia amesema tupangwe vizuri hajasema tuhamishwe kama inavyotafsiriwa na watendaji!

stori za kusadikika..

jambo msiliojua na ambalo amtaki kufahamu Machinga ufwata eneo lenye mzunguko wa watu , Biashara nk

usitegemee Kiumbe machinga atafwatwa na Mlaji (sahauuuu)
 
stori za kusadikika..

jambo msiliojua na ambalo amtaki kufahamu Machinga ufwata eneo lenye mzunguko wa watu , Biashara nk

usitegemee Kiumbe machinga atafwatwa na Mlaji (sahauuuu)
Na sehemu ya biashara ni hapo hapo mjini,is either utenge sehemu yao hapo hapo mjini au ujidai kutenga maeneo mengine waende halafu warudi,

And yes kuna mall kibao tu duniani zenye floor za wamachinga, wewe kukataa hili haiondoi ukweli kuwa zipo!
 
Mkuu ulikataa kujengwa mall yenye floor yao
Machinga Complex si ipo ?, Nyumba nyingi / office zipo tupu hazina watu..., ndio hapo utaona root of the problem sio kukosa nafasi au watu kujaa bali kipato cha kutosha... (disposable income)
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Aache ujinga sasa mtu yuko barabarani unampanga vipi vizuri?
 
Nawe unatakiwa kujua adha ya familia za wamachinga wanazopitia pindi wategemezi wao wanapovunjiwa ama kuamishwa maeneo waliyozoea kuingiza kipato chao Cha “hand to mouth” tofauti Na wewe unae kuwa Na kipato Cha saving
Wakiendelea hivi watapanga mpaka lango la kuingilia Ikulu wameanza kusogea
 
Makamu mwenyekiti wa Wamachinga nchini mh Lusinde amesema Rais Samia ameagiza wamachinga wapangwe vizuri katika maeneo waliyopo na siyo kuhamishwa kama inavyotafsiriwa na watendaji wa chini.

Source: ITV Malumbano ya Hoja
Muondoke mijini kwenye barabara na road reserves, kwenye majengo ya wafanya biashara wengine, kwenye sehemu za wazi, shule na sehemu msizopaswa kuwepo. Kufanya biashara si leseni ya kuvunja sheria nyie wamachinga. Muondoke kama hamtaki kukaa sokoni, mrudi vijijini mkalime. Ninyi ndio mnaongoza kwa ujambazi, ubakaji, ukatili dhidi ya raia wengine kwa kivuli cha umachinga, Ondokeni!
 
Back
Top Bottom