Jemima Jackson
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 777
- 923
- Thread starter
- #21
Hii mbona imejibiwa hapa chini soma vizuri Biashara za mtandaoni zinafanyika Duniani kote kwa nini Tanzania iwengumu?Ushauri mzuri. ila watanzania hao hao uliosema wanajifanya machinga kumbe wanachoma watu visu na kuchomlea watu simu ndio wezi wakubw awa mitandaoni. Atapost anauza viatu unachagua anakwambia tuma hela kisha ana kublock anaendelea na maisha mengine. Ama unaagiza kiatu cha ngozi unalipia then anakutumia cha kichina. Tanzania UAMINIFU NI BIDHAA ADIMU bado hatujafikia level ya kufanya bishara hizo DIGITAL MARTEKING wala online business