Machinga: Jeshi kubwa lenye uwezo wa kuamua Mustakabali wetu kisiasa

wazo mfu kwa nchi kama Tanzania..... mpaka sasa tungeona juhudi za wazi kutoka kwenu ila kama juhudi ni kuanzisha chama cha sisa MMEFELI kabla ya kuanza.

by the way.... tuwape uongozi ili mrudi kufunga barabara zetu au mje na sera ileile ya kutengeneza mazingira bora????
Binafsi nimeichukua hoja yako kwa mtazamo chanya. Naona kabisa kiu uliyokuwa nayo.

Shukran kwa kutupa moyo na kutuongezea ujasiri.

Nakukaribisha na wewe pia ktk kuzibadi fikra hizi na kuwa vitendo.

Kwa uoni wangu sifa kuu wa wamachinga wataounga mkono mchakato huu ni moja.

Kuwa Mkweli na Muaminifu/Muadilifu.
 
Wanufaika wa waliyopo wakiona hoja ya mabadiliko wanakumbwa na hofu ya kufa mtu 😁😁.

Hiiiiii bagosha!
 
Back
Top Bottom