Machinga afariki kwenye zoezi la kuhamisha Wamachinga

Mtu mmoja ambaye ni mmachinga amegongwa na gari na kufariki wakati akiokoa mali zake pale Vingunguti

Mtu huyi Mohamed Ramadhani " Mkongo" aligongwa na gari lililobeba nyama wakati akivuka barabara na mizigo yake.

Chanzo: ITV habari

Ajali ikifika imefika mkuu, no way
 
hii serkal inakwenda kupteza imani na ushawish kwa raia, baada ya nguvu kubwa aliyotumia bwana yule kuiimarisha ccm aliyoipokea ikiwa imechoka toka kwa mjomba wenu wa msoga gang....kwa hizi fujo na uhuni wana ccm wajiandae kisaikolojia kwa kitakacho wapata 2025 mybe wafoji sanduku la kura maana uzalendo watu utawaisha
 
Mkuu acha kuandika taarifa za uongo huyu marehemu sio mmachinga ni konda wa daladala alikuwa anawahi kuamsha gari ndio alipokutwa na umauti wala hana uhusiano na mambo ya kuvunjiwa mabanda.
Afadhali umetuletea habari yenye ukweli
 
Yaan hapa Tanzania kila kitu kimekuwa siasa za mitaloni.Connection hapo ni kuichonganisha ccm.Lakin habari za mitandaoni zimekuwa nyingi za uongo sana.Moderator futeni huu Uzi.
Uhakika unavyosema,ukisoma habari za mitandaoni,na Hali halisi,mengi ni ya uongo,wengi sasa hatuamini habari za mitandaoni,nyingi ni za uongo,hasa kwa matukio dhidi ya serekali.
 
Mtu mmoja ambaye ni mmachinga amegongwa na gari na kufariki wakati akiokoa mali zake pale Vingunguti

Mtu huyi Mohamed Ramadhani " Mkongo" aligongwa na gari lililobeba nyama wakati akivuka barabara na mizigo yake.

Chanzo: ITV habari

Huwezi amini kwamba:

1. CCM ndo wameleta hizi shida kupitia raia wa chama chaokuchukua hela za wamachina na kuwaweka barabarani.

2. Wananchi kwa kuiamini serikali yao wakatengeneza maisha yao kwenye mazingira hayo na kupata vipato.

3. Ni CCM hiyo hiyo Leo inawabomolea watoto wa watu vibanda vyao ambao hawana elimu na hawana pa kwenda.....
 
Kuna mmoja kipawa bila walinzi kupiga kelele kuwaambia wabomoaji kuna mtu amelala humo bandani kijito kingepita nae
 
Mtu yeyote anayetaka kutetea wamachinga wabaki hajielewi
Unajiona una maisha kumbe uko kwa shemeji ama umepanga kichumba bondeni unakuja kufurahi mwanaume mwenzako anaye pambana kutafuta maisha ..ww unae jielewa umefanya nn kusaidia jamii ijielewe ama ndo kukaa kwako kwa shemeji
 
Una roho ngumu sana ...binadam mwenzako kafa akitetea mali zake zinazobomolewa na serikali yake na hakuwa mwizi bali mtafuta riziki kwa jasho lake ww unakuja na chuki zako na machinga ...so sad
Hii yote imesababishwa na laanakum Magufuli...Huko jehanam aliko awe kuni kabisa
 
Back
Top Bottom