Machinga afariki kwenye zoezi la kuhamisha Wamachinga

Mtu mmoja ambaye ni mmachinga amegingwa na gari na kufariki wakati akiokoa mali zake pale Vingunguti

Mtu huyi Mohamed Ramadhani " Mkongi" aligongwa na gari lililobeba nyama wakati akivuka barabara na mizigo yake.

Chanzo: ITV habari
Haraka ya wapi Mangi, tulia uandike vizuri maana kuna kosa la kiuandishi Bwashee
 
Mtu mmoja ambaye ni mmachinga amegongwa na gari na kufariki wakati akiokoa mali zake pale Vingunguti

Mtu huyi Mohamed Ramadhani " Mkongo" aligongwa na gari lililobeba nyama wakati akivuka barabara na mizigo yake.

Chanzo: ITV habari
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Mohamed Ramadhani apumzike kwa amani
Ameuwawa na mipango ya ccm
 
Mkuu acha kuandika taarifa za uongo huyu marehemu sio mmachinga ni konda wa daladala alikuwa anawahi kuamsha gari ndio alipokutwa na umauti wala hana uhusiano na mambo ya kuvunjiwa mabanda.
Yaan hapa Tanzania kila kitu kimekuwa siasa za mitaloni.Connection hapo ni kuichonganisha ccm.Lakin habari za mitandaoni zimekuwa nyingi za uongo sana.Moderator futeni huu Uzi.
 
Yaan hapa Tanzania kila kitu kimekuwa siasa za mitaloni.Connection hapo ni kuichonganisha ccm.Lakin habari za mitandaoni zimekuwa nyingi za uongo sana.Moderator futeni huu Uzi.
Kuichonganisha vipi sasa?kama vyombo vyote vikubwa vya habari Tz, vimetangaza hivyo , tuache kuviamini na tumuamini huyo mpita njia?kwa taarifa yako kwa mlivyowatumia hao wanyonge kisiasa, kipindi cha meko, lawama hamuwezi kuzikwepa kamwe!!!kwa kitendo cha kuwafukuza, kwani ilikuwa ni kero kubwa mno!!!
 
Back
Top Bottom