Machine za kuoshea magari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machine za kuoshea magari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Amoeba, Nov 27, 2009.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Hivi wakuu machine za kuoshea magari zipo za specs zipi na zipi, na zinapatikana wapi na makadirio ya bei zake ni zipi? taa imewaka kichwani, kuna kichaa wangu mmoja alikimbia shule, sasa ameamua kuosha magari nadhani akili zimeshamjia nikimpatia machine kama hii itamsaidia sana! Tafadhali wakuu
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Nov 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Una maana kama hii?

  [​IMG]
   
 3. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #3
  Nov 27, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  masikhara hayo!
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  Nov 27, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Picha imeondoka
   
Loading...