Machine ya kutengeneza chakula cha kuku inauzwa

kajembe

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
879
500
Wana JF nauza machine ya kutengeneza chakukula cha ukubwa wa mixer ni tani moja na nusu,imetumika muda wa mwezi mmoja ina kila kitu Mzani,machine ya kushonea magunia,circute breakers zake zote zipo,cables zake za umeme na mikanda na chekechea vipo vyote. Nimeamua kuuza kwakuwa nimekosa mtu wa kuisimamia ninapokua kazini.Mita yake ya three phase ipo pia ila sina uhakika kama Tanesco wanaweza kubadili ownership.

Anae hitaji ani PM ! bei inaanzia 10m kila kitu maelewano yapo.

 

HP1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
3,356
2,000
Wajasiliamali kuja kipande hii. Huu ni mradi wa uhakika.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom