Machifu na Edward Twinning. Nani mwenye picha inayoonekana vizuri zaidi?

wakurochi

JF-Expert Member
Dec 4, 2017
2,647
2,937
Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa
bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini nimfanyie scanning na kuikuza.

Humu inawezekana kuna mdau anayopicha yenye yenye mwonekano mzuri zaidi.

Machifu with Edward Twining.jpg

Nawasilisha
 
Majina uliyoweka siyo ya kweli kwani ChifuMkwawa na Chifu Milambo (siyo Mirambo) wao walikufa wakati wa utawala wa mjerumani zaidi ya miaka 20 kabla ya utawala wa Twining.
sawa sijaweka mimi nimepewa hivyo hivyo tusaidiane kuirekebisha. Ila ila inaelekea Mkwawa na Mirambo walipata warithi na walitumia majina yale yale yaani Mkwawa na Mirambo wale wa kwenye Historia. Sababu mpaka leo Mrithi waMkwawa yupo
 
Mmh?
IMG_20200829_140730.jpg
 
Mbona Mkwawa wa kwenye hii picha yupo tofauti na niliyezoea kumuona au huyu ni mwingine katika ukoo wao ?

Alafu kwa kumbukumbu zangu mkwawaa hakushirikiana na mkoloni na wakati wake kilikuwa kipindi ambacho mkoloni ndio anaingia Tanganyika ambaye alikuwa mjerumani hivo sielewi ilikuaja huyu ambaye picha inadai ni mkwawa amepiga picha na mjerumani
 
bahati nzuri umekiri mwenyewe.Mkwawa alijiua miaka ya 1896 kabla mwingereza hajaja baada ya vita vya kwanza vya dunia.Governor wa kwanza Tanganyika alikuwa Horace Byat,akaja Donald Cameroon akaja Richard Twining wa mwisho ndio tukapata uhuru alikuwa Richard Turnbul.Richard Twining wakati anatawala Mkwawa na Mirambo kwanza nadhani wote hao walishafariki hata hivyo ahsante kwa picha hii maridhawa.
 
..baadae kulikuwa na Chifu Mtwa Adam Sapi Mkwawa ambaye alikuwa Spika wa Bunge la Jamhuri kwa muda mrefu.
 
Majina uliyoweka siyo ya kweli kwani ChifuMkwawa na Chifu Milambo (siyo Mirambo) wao walikufa wakati wa utawala wa mjerumani zaidi ya miaka 20 kabla ya utawala wa Twining.

Hayo ni majina ya ukoo, inawezekana ni wajukuu zao.
 
Hapo ni baadhi ya Ma Chifu wa enzi hizo. Wanaonihusu hawaonekani vizuri. Kwenye maktaba yangu nahitaji kuweka mambo sawa sasa
bahati mbaya picha imechakaa. Nillipata jamaa yangu alileta kazini nimfanyie scanning na kuikuza.

Humu inawezekana kuna mdau anayopicha yenye yenye mwonekano mzuri zaidi.

Nawasilisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom