Machangudoa wanaofanya biashara yao sinza wakamatwa

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,199
18,470
[h=1]Watoa huduma hawa...[/h]


Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
 
tatizo kesho ukienda unawakuta wamerudi na biashara inaendelea kama kawaida
 
Hebu waache kuwasumbua hao wadada bana. Maisha yenyewe magumu haya. Watafute namna ya kuwasaidia ili hiyo biashara ichangie pato la taifa kwa njia ya kodi.

Hii kamata kamata haitaiondoa hiyo biashara. Ni biashara ambayo itadumu milele na milele. Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuwaingiza hao watoa huduma rasmi katika mfumo wa kiuchumi.

Ngoja nikipata muda nitam-lobby mmoja wa wabunge apeleke hoja huko bungeni ya kuihalalisha hiyo biashara kwani nchi inakosa mapato ya mahela mengi sana - kwenye mabilioni huko.

NB* Ila huyo anayedandia hiyo Lendrova niaje tena? Hiyo ni chupi? bukta? ama? Halafu mwenyewe kashikilia pochi (begi) yake ya chui chui...maskini wee daah!
 
Mbona kama ni mchana kweupe? Hiyo biashara wanafanya mchana siku hizi? Halafu kama wamewakuta nyumbani mchana wataenda kuprove vipi mahakamani kwamba hao ni machangudoa?

Tiba
 
Umalaya ndio biashara kongwe zaidi duniani, hivyo haiwezi kutatuliwa kwa kuwakamata, solution wangewaruhusu kwani wangekuwa wanalipa kodi. Pia biashara ya umalaya ni muhimu pia katika vivutio vya watalii ambao wanaingia Tanzania bila wake zao. Hata sisi tunaohangaika mara nchi hii mara ile tukirudi home tunawatumia hao kutoa genye zote kabla ya kutafuta mchuchu wako.
 
Hivi mbona hapo wanambana "muuzaji" tu na "mnunuaji" je? Kwa kifupi wanaochochea uchangudoa ni wanunuzi (wanaume) thats all vinginevyo wanaume wote tungetulia home haya yasingetokea. Kwa hiyo polisi walamateni na wanaume pia....
 
tatizo kesho ukienda unawakuta wamerudi na biashara inaendelea kama kawaida

Sheria ya Tanzania haizuii uchangudoa ila kupata hela kwa njia ya uchangudoa. Kama walifanya uchangudoa na hakuna ushahidi wa hela ya uchangudoa wataachiwa
 
sinza3.jpg


mbona kama kombat ya jamaa imenyanyuka au macho yananidanganya??????
 
Imekuwaje nao wakafanya hii biashara mchana hivi? Maana hapa inakuwa ngumu kujitetea....
 
Back
Top Bottom