Machangudoa wanaofanya biashara yao sinza wakamatwa

kwenye nchi walizopiga marufuku biashara ya umalaya huweka mtego wa mnunuzi pia kwani bila ya wao hakuna biashara,
Tatizo la nchi yetu wateja wengi wakikamatwa ni aibu kwa serikali kwani unaweza ukakuta mpaka wakurugenzi na maofisa wa polisi wamo humo
Serikali za mtaa zijaribu kuweka mazingira mazuri ya biashara hiyo kwani huko ulaya wamo informer kwenye biashara hiyo ambao wanasaidia polisi kwenda kumtafuta mhalifu
 
Sheria kali iweke kwa wenye guest, kutoruhusu watu wa jinsia mbili kuingia kulala bila vyeti vya ndoa.Hotel za Lutheran kama dodoma na uhuru hostel moshi,za wasomali kariakoo wanatekeleza hiyo sheria kwa ufanisi mkubwa
 
nimewahi kuona ambaye amepandisha nguo kwa askari na hana puchi kabisa, huu ndio ujanja wanautumia kukaa uchi uwaachie lakn ni kujidhalilisha
 
dawa ni kukamata wateja wao kama ile solution ya kuwajengea mazingira ya kazi 'halali' hawa akina dada imeshindikana. Ukipita leo mitaa hiyo utaikuta mijibaba (wateja) ikitokwa na 'udenda' kwa sababu ya wadada hawa kutokuwepo kwa kukamatwa

The Listener - Ex Detective
 
ILA WAMEZIDI SANA UKIPITA USIKU UTADHANI KUNA KIWANDA HAPO
WAFANYAKAZI WANASUBIRI KUFUNGULIWA GETI
:kev:
 
wauzaji na wanunuzi wote wana makosa..wawakamate na wateja wao ss
 
Watoa huduma hawa...



Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria

Mchana wote? Asee
 
Haya majanga majanga wadau, hivi hawa wakisema siku waandamane kuelekea magogoni itakuwaje!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hebu waache kuwasumbua hao wadada bana. Maisha yenyewe magumu haya. Watafute namna ya kuwasaidia ili hiyo biashara ichangie pato la taifa kwa njia ya kodi.

Hii kamata kamata haitaiondoa hiyo biashara. Ni biashara ambayo itadumu milele na milele. Ni muda muafaka sasa kwa serikali kuwaingiza hao watoa huduma rasmi katika mfumo wa kiuchumi.

Ngoja nikipata muda nitam-lobby mmoja wa wabunge apeleke hoja huko bungeni ya kuihalalisha hiyo biashara kwani nchi inakosa mapato ya mahela mengi sana - kwenye mabilioni huko.

NB* Ila huyo anayedandia hiyo Lendrova niaje tena? Hiyo ni chupi? bukta? ama? Halafu mwenyewe kashikilia pochi (begi) yake ya chui chui...maskini wee daah!
Mimi nima wasiwasi na hawa mgambo wa jiji! sidhani kwamba kazi hii inafanyika katika uhalisia wake hapa kuna kitu...ila kama hawakua makini basi watapotea na kupoteza familia zao, nadhani naeleweka..
 
[h=1]Watoa huduma hawa...[/h]

Mgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
Mashanga yanamiminika kama maji mweeeeeeeee.
 
Back
Top Bottom