Machangudoa wa UK kiboko,tahadhari kwa wana JF

JF raha tupu!
1. Lawyer anakubali kuwa yuko pamoja na msichana wa umri mdogo, isitoshe mwongo.
2. Lawyer anatoa pounds 200 baada ya kuitwa nyani
3. Lawyer bado anauchuna anapoulizwa ataje jina la hoteli.
4. Hoteli hawawajui wahudumu wao.
5. Hoteli za London, kama vile wanavyofanya guest house za Sinza, hawadai passport na/au vitambulisho vya wateja wao

1.umri nimekadiria tu,
2.Nilimpa baada ya kunieleza kuwa ana shida,nadhani ungemuona alivyokuwa akiomba nisi mripoti usinge doubt
3.Jina la hotel kwa sasa siwezi taja(coz my identit can easly be ascertained):remember,too many posts and comments may have caused harm to even my closest friends
4.kujua wahudumu nadhani the setting na namna alivyo act isingekuwa rahisi
5.Kila kitu kilifanyika perfectly,kumbuka yeye ni mwenyeji..............

N:B, There is nothing to doubt, just stay alert.
 
Mi kilichonishangaza........ eti yeye ni lawyer....... Learned brother anashindwa kutunga hadithi pasi na mashaka?

Ingekuwa hadithi.........isingekuwa na shaka,kwa sababu ingetungwa with perfection to entertain the audience................
 
Chavka........a ho is a ho! nisingeweza kutoa bikira yangu kwa ho, mbona hata bongo wapo?????...........niliacha lakini nilimuachia kama euro 200 kama asante ya kunipokea na kunibebea mizigo...........

Halfu mkuu we noma...umesema ulimsamehe then kaporomosha matusi duh....mkuu acha kujishaua uliacha euro 200 lkn hivi UK wanatumia Euro au? na ulitokea Bongo ukanunua Euro kweli? hahahahahahah
 
duh kwanza pole kama kweli yamekukuta.
pili asante kwa kuwajulisha wanaume wenzako wa jamii forum ila hujatwambia mwishowe ilikuwaje?kaishia kukutukana hakuvaa ama?

Akamlipa euro mia mbili kwa kumtukana...jamaa fix eeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhh?
 
Hivi Home B umeamini hii story?

Niamini wapi hommie? eti ana bikira then katukanwa, kataka kupiga simu police, kapokewa airport na jina lake, duh kweli yale yale ya Diamond kupiga simu na lile statue la nani yule dada?

Angesema nikakula kitu then nikamlipa shilling 30,000/= nilizobakiza wakati nachange ningeelewa....UK kamlipa euro mhhhh, ni sawa na US ulipe kwa kutumia paundiz..
 
Huyo yuko kwenye biashara mkuu. Siku hizi inabidi uwe na tactics za hali ya juu kuweza kufanya biashara. Hata hivyo nakusifu kwa kuweza kuyashinda majaribu makubwa kama haya.
 
Halfu mkuu we noma...umesema ulimsamehe then kaporomosha matusi duh....mkuu acha kujishaua uliacha euro 200 lkn hivi UK wanatumia Euro au? na ulitokea Bongo ukanunua Euro kweli? hahahahahahah

Ndiyo aina ya pesa ambayo sikuihitaji kwa wakati ule..................mkuu,euro,pound na dollar, natembea nazo allthe time for my convenience,ili kubalansi wallet,kwa hiyo siyo ishu kivile...........
 
Nyie nanyi mnamsakama mwenzenu kisa?! Kwani euro 200 ni billioni?!Kupokelewa airport na mtu asiyemfahamu ni wa kwanza!! Kuitwa nyani na mtu mweupe ni wa kwanza?!

...lol...Lizzy hilo la kuitwa "
monkeyface.gif
"weye ndio wa kwanza kumsakama nalo, hhahhahhaa!
 
Ndiyo aina ya pesa ambayo sikuihitaji kwa wakati ule..................mkuu,euro,pound na dollar, natembea nazo allthe time for my convenience,ili kubalansi wallet,kwa hiyo siyo ishu kivile...........

Duh wewe mkuu noma, hukuhitaji euro lkn dolar ambayo ni lessvalue hapo ulipozitaja ndo uliihitaji...btw pole mkuu ila siku ingine kula hiyo, hivi UK ukiitwa nyani si unaweza msue aliyekuita au hiyo law imefutwa ka Bongo kinyemela?
 
Nyie nanyi mnamsakama mwenzenu kisa?! Kwani euro 200 ni billioni?!Kupokelewa airport na mtu asiyemfahamu ni wa kwanza!! Kuitwa nyani na mtu mweupe ni wa kwanza?!

Lizzy mie naitwa nyani hata nyani wananiita nyani mtu....ila huyu jamaa anachemka...either kasikia tory au limemtokea mtu wa karibu yake...tuulize ma PIMP tukwambie how the thangs work....
 
Nyie nanyi mnamsakama mwenzenu kisa?! Kwani euro 200 ni billioni?!Kupokelewa airport na mtu asiyemfahamu ni wa kwanza!! Kuitwa nyani na mtu mweupe ni wa kwanza?!

Sema wewe mama,manake naona kila mmoja anataka tahadhari ningeitoa kwa kujiweka 3rd person,jamani ni mimi ndo imenitokea...............
 
Duh wewe mkuu noma, hukuhitaji euro lkn dolar ambayo ni lessvalue hapo ulipozitaja ndo uliihitaji...btw pole mkuu ila siku ingine kula hiyo, hivi UK ukiitwa nyani si unaweza msue aliyekuita au hiyo law imefutwa ka Bongo kinyemela?

Tatizo ni kuwa sijui kuelezea masaibu yangu................lakini hayo ndo maneno sahihi niliyoweza kuwasilisha tahadhari yangu.............
 
Back
Top Bottom